Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

Jaribu pia kutumia butter badala ya blueband
Swala la vipimo sio siri ni muhimu
Nimeweka pause kwny upishi wa baadhi ya vitu hadi ninunue vipimo..kwny hizi cake,mkate etc
Ubize nao kasheshe mapishi yetu tushazoea kwa uzoefu sio vipimo
 
Back
Top Bottom