Wapi nakosea kwenye mapishi ya keki?

inaonekana ni tamu balaa..asante! moto hua unaeka wa kiasi gani..hiyo facebook sikumbuki hata password long time siko huko.instagram au youtube hamna hiyo kitu?
Mimi nlianzia kusoma FB then you tube nlienda ongezea maujuzi...na moto washa kabla ya kuanza kuchanganya...moto weka 180 au 355
 
Nipooo very active sema siku hzi nimekua msomaji tu.. Nacomment mara chache chache ia nipogoo
Anhaaa! Hamna shda

Nilimiss comments zako zilikuwa zina akili. Nikawa najua uliondoka
 
Asante najitahidi kupima kwa macho sina mizani..nafanya kila kitu kama video zinavoonyesha..nikapatia siku ya kwanza na ya pili kiasi baada ya hapo ndo balaa likaanza..na wasiwasi na oveni pia manake hata haionyeshi ni joto kiasi gani..ni jiko la gesi lenye oven chini
 
Kupima kwa macho ndo unakosea pimia mezani cake ukikosea step moja tu haiivi mfno kikopo cha blue babd cha nusu km unataka kupma ungs nusu bac vinakua viwil hadi pale kwenye mstar kwasabu unga ni mwepec Blue band nzito huez kupima kimoja na mayai km unapka vipimo vya mayai sita bac weka sita tu ukipima vipimo sawa haisumbui na moto pia bora weka mdogo km huez kukisia then unazidisha kidogo dogo huku unaiangalia me kawaida nachomea oven la gas naweka namba 5 hadi inaiva mda wa kuchoma weka ukichanganya washa oven moto mdogo mdogo ukimlza kuchanganya na kuichoma oven lishapata moto yani usiwashe oven na kuingiza cake
 
Ingia facebook kuna group linaitwa "mapishi rahisi na fasta fasta" angalia kuna kila aina ya mapishi ya cake..me nimejifunza humo na nimeweza..cake lazma iende na VIPIMO

hio ni cake yangu ya pili kuipika.

View attachment 750661
Dah..... inaonekana tamu sana. Hongera
 
Acha ubahili mpeleke VETA.
 
Nadhan tatizo ni kipimo cha hamira. Kwa kei ya unga robo tumia kijiko kimoja cha chakula kwa hamira ya baking powder ile ya box la blue
Hamira kwenye keki???? Sio bakin powder dear?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…