Wapi napata genuine CLINIQUE PRODUCTS kwa Dar?

Sasa Ngabu ndo akutane na mzee wa bucci akiwa na Zaba yake ulomletea😁😁
Hashindwi kusema Ngabu katupia vitu feki Zaba yake ndo OG🏃🏃😄😄
Ngabu anaweza kulia 😂😂😂
Mana mzee wa bucci ndo atakuwa ametoka mamtoni halafu ngabu ataonekane wa tandale 🤣
 
Nyie watu mmenichekesha sana aisee! Mpaka visura wangu hapa wanashangaa baba anachekea nini.

Hapa nilipo nimejaribu kuitamka kwa sauti hiyo “bucci” nimeishia kucheka kama mwehu tu.

Hadi nimetamani kuwa na t-shirt ya bucci. Kama unazo nitunzie moja….nataka kuinunua.

Bucci baby 🤣🤣🤣🤣.
 
Bucci baby 😂😂😂
T-shirt zipo tajiri ushindwe wewe tu.!

Awww 🥰🥰 wape hi hao visura
Nitawatafutia “bucci” za size yao auntie’s zangu waambie 🤣
 
Dogo ushawahi kuona hii @lamomy😀
IMG_20240812_113332_HDR.jpg
IMG_20240812_103323_HDR.jpg
 
Back
Top Bottom