Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Basi km hivyo ni balaa πππSio tamaa unajipenda na ni vizuri.
Mimi ni king'ang'anizi jamani,ukinitumia nitatumia huku nasema si bora angeniongezea tu rituals au cliniqueππ.Yaani niko addicted na hizi products hlf zikiisha kabla sijatumiwa nahaha kila nikijaribu vipya siridhiki.Nahisi na ushamba unachangia utaharibu hela zako bure mdogo wangu ila
asante una roho nzuri kama wewe mwenyewe
View attachment 3050301View attachment 3050304
Nimependa bathroom yako dada yangu msafi πππ
Ahsante ningekutumia kweli ila nitakujaribisha sikubaliiii π