Wapi napata genuine CLINIQUE PRODUCTS kwa Dar?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka yani huyo achinjwe xmas kazingua na kaharibu kabisa Bucci tenaah.!!
Km slippers za ZARA mchina katoa copy zake kaziandika ZABA ili kuwafariji wanunuzi.!!
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ mwenyewe siku naiona bucci nilichoka.

Ila mchina utadhani Yesu,hashindwi na jambo.πŸ˜€
Kuna ADODAIS pia.
Nadhani hizi ZABA na ADODAIS n
k nadhani anafanya hivi kukwepa kesi ya piracy.
 
Kuna simu za tochi zina ringtone za IPhone nachekaga πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ 😁 dogo unanipiga fix ujueπŸ˜€
Nimecheka hadi tumbo linauma.
 
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ mwenyewe siku naiona bucci nilichoka.

Ila mchina utadhani Yesu,hashindwi na jambo.πŸ˜€
Kuna ADODAIS pia.
Nadhani hizi ZABA na ADODAIS n
k nadhani anafanya hivi kukwepa kesi ya piracy.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wachina makanjanja sana yani ni tafrani vitu vyao, wanaogopa piracy ndio ya brand husika wanaweza kuwashtaki.!!

Mzee wa Bucci anakwambia bongo bahati mbaya 😹😹
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ 😁 dogo unanipiga fix ujueπŸ˜€
Nimecheka hadi tumbo linauma.
🀣🀣🀣 Sis kweli mwenyewe nilichoka simu inaita nasubiria kujionea li iPhone 15 Pro pap naona kitochi nilichoka.!!
Sijui alirekodi au mchina mwenyewe kaamua kujifyatua fyuzi πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wachina makanjanja sana yani ni tafrani vitu vyao, wanaogopa piracy ndio ya brand husika wanaweza kuwashtaki.!!

Mzee wa Bucci anakwambia bongo bahati mbaya 😹😹
Mzee wa bucci anajikubali sana hlf hiyo bucci ni ile girlish pink sasa.Mtu mmoja poa sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wanajionaga Chris Brown wa bongo hao, watu km hao stress free mi nawakubali sana.!!
 
🀣🀣🀣 Sis kweli mwenyewe nilichoka simu inaita nasubiria kujionea li iPhone 15 Pro pap naona kitochi nilichoka.!!
Sijui alirekodi au mchina mwenyewe kaamua kunifyatua fyuzi πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Itakua mchina aliamua jambo lake.πŸ˜€πŸ˜
 
Hakuna kinachowashinda anakwambia quality inaendana na pochi yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wanajionaga Chris Brown wa bongo hao, watu km hao stress free mi nawakubali sana.!!
Kweli kabisa mdogo wangu.
Hata the late Jobs alisema haijalishi saa yako ni ghali na yake ni cheap kiasi gani zote zinaonesha muda,benz or bajaji wote tutafika.Lamomy ana shower gel 6 pridah 1 wote tunaoga na mjini tunaendaπŸ˜πŸ˜€.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umefanya ncheke kwa sauti lol.!
Mi nna tamaa hapa umenikumbusha ya MEDIX na DOVE zinakaribia kuisha nikanunue.!!
Wewe itabidi nikuforce uwe na shower gel nyingi au nikununulie mwenyewe nikutumie 😹
 
Hakuna kinachowashinda anakwambia quality inaendana na pochi yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna tu sendoz nilinunua kwa wale wa whatsap,vinafika kimoja kinapwaya kimoja kinabana lkn vyote size 37πŸ˜πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka had machozi aisee.!!
Same size ila kimoja kikubwa 🀣🀣🀣

Biashara za online zina vituko sana, wanaweka picha nzuri ya kukuvutia. Jichanganye sasa uone.!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umefanya ncheke kwa sauti lol.!
Mi nna tamaa hapa umenikumbusha ya MEDIX na DOVE zinakaribia kuisha nikanunue.!!
Wewe itabidi nikuforce uwe na shower gel nyingi au nikununulie mwenyewe nikutumie 😹
kumbe upo na ID hii. umenichosha kukujibu kule
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka had machozi aisee.!!
Same size ila kimoja kikubwa 🀣🀣🀣

Biashara za online zina vituko sana, wanaweka picha nzuri ya kukuvutia. Jichanganye sasa uone.!!
πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ nilichoka.
 
Back
Top Bottom