Wapi napata genuine CLINIQUE PRODUCTS kwa Dar?

Wapi napata genuine CLINIQUE PRODUCTS kwa Dar?

Basi acha tuendelee kuwauzia mpaka nyundo feki ukigonga msumari nyundo inavunjika anarudi kununua nyingine

Kwa kweli hata mimi nimechanganya bidhaa sana unakuta tairi moja bei mara 4 ya feki unaweka yote tu
😂😂😂 kwahiyo unamix matairi fake na og?
Bongo hakuna kinachoshindikana, huku mpk Beyonce imported from kikuu wapo.!!
 
Na bongo hii bidhaa bila kuchakachua hutoboi, ukileta genuine product mzunguko wake mdogo na una wateja wachache.!!
Ndo mana wenye hizo brands hawaji itakua walishafanya research.
 
😂😂😂😂 Mimi nikiwa mmojawapo wa kuuza Jordan, Nike, Gucci, Prada fake

Pochi zetu sasa za MCM ukitukuta tumezibebelea kwa madoido nahisi mnatucheka sana mkiwa mnatuzoom 😂

Hizo sneakers unaziuza bei gani na size gani nikutafutie wateja.!! Cutting yake ikoje? Normal or big mana hivyo viatu vinatengenezwa kwa watu wa eneo husika.!!
Uzuri wa luxury products kama MCM huwa zina serial numbers ambazo hutumika kuhakiki kama bidhaa ni halisi au feki halafu huwa zina warranty. Hivyo kubaini kama ni feki ni kazi rahisi sana 🤣.

Sneakers ni Air Jordan VI OG infrared, 2019 re-release edition.

IMG_6784.jpeg

IMG_6783.jpeg

Nilizinunua kwa $279.99.
 
Nahisi walivyokuja kufanya research wenyewe walichoka kukuta wabongo wamevaa brand zao kuliko kawaida 😂😂😂
Km kkoo utachoka kuna Jordan mpk ya 30,000
🤣🤣

Ila unajua nini? Hizo feki, ukiziangalia kwa juu juu, wala huwezi kustukia kuwa ni feki.

Halafu ukizivaa unapendeza kama kawaida tu.

Lakini hazidumu.
 
Uzuri wa luxury products kama MCM huwa zina serial numbers ambazo hutumika kuhakiki kama bidhaa ni halisi au feki halafu huwa zina warranty. Hivyo kubaini kama ni feki ni kazi rahisi sana 🤣.

Sneakers ni Air Jordan VI OG infrared, 2019 re-release edition.

View attachment 3049141

View attachment 3049142

Nilizinunua kwa $279.99.
Hiyo ipo shop kwangu tunauza 120,000 😹😹😹
 
Attachments

  • IMG_3122.png
    IMG_3122.png
    11.8 MB · Views: 6
🤣🤣

Ila unajua nini? Hizo feki, ukiziangalia kwa juu juu, wala huwezi kustukia kuwa ni feki.

Halafu ukizivaa unapendeza kama kawaida tu.

Lakini hazidumu.
Nimekutumia hapo ziko dukani si umeona hakuna tofauti yoyote 😂😂😂
Tena kibongo bongo hizo ninazouza ndio og sasa.!!

Na watu wanapendaza sio shida zao
 
Hiyo ipo shop kwangu tunauza 120,000 😹😹😹
🤣🤣

Umetisha!

120,000 ni takriban doła 40 na kitu.

Umeona sasa! Hata hiyo 120,000 kibongo bongo ni hela nyingi sana.

Swali: kwa mfano nikikupa hizi za kwangu, utaziuza kwa bei gani hapo dukani kwako?
 
🤣🤣

Umetisha!

120,000 ni takriban doła 40 na kitu.

Umeona sasa! Hata hiyo 120,000 kibongo bongo ni hela nyingi sana.

Swali: kwa mfano nikikupa hizi za kwangu, utaziuza kwa bei gani hapo dukani kwako?
😂😂😂 bongo hakuna kinachoshindikana.

Hizo zangu hapo ndio za bei sasa kuna mzigo wa 70 km huo huo.!!
Halafu kuna zile Mchina kalewa hizo mpk 30

Hivyo vyako itabidi tuongee pembeni unaweza kukuta wateja wapo humu biashara ikaharibika..!! 😂
 
Na
Mimi nna makorokoro mengi mpk najiogopa 😂😂😂
Shower gel ninazo 6 na zote nazitumia nikiwa naoga, perfume ndio nazigonganisha napata cocktail moja matata sitaki kuhug na mtu unaanza kutoa harufu za ajabu ajabu mi mwenyewe sipendi uchafu.!!
Umetisha dogo.

Mwenzio nikipenda kitu nakiganda.Mf,perfume natumia boss tu miaka na miaka,shower gel ni Rituals nimeiganda.
Dressing table yangu ukiiona inachekesha.Ni perfume za boss ,lipstic moja.Sina cha poda wala cha foundation wala cha rangi ya kucha wala cha wanja😂😀😁 Mwenzio siwezi mambo mengi nilijaribugi nikashindwa😭
 
😂😂😂 Mi kinachoniponza napenda vitu tofauti tofauti, naweza kununua shower gel ya Dove lakini nitatamani na cerave, nivea, Vaseline Johnson, Medi ili mradi basi tu nikazijaze bathroom.!! Sina utulivu kabisaa.!!

Hizo perfume ndio utacheka nimejaza na kila perfume ina short story yake.!! 😂😂😂
Hand & foot cream zipo km 4, sema mafuta ya nywele naipenda brand ya cantu ipo vizuri hata harufu zake haikeri.!!

Sema make up ndio ilinishinda na ila nna kibegi kimejaa.!! Lipstick ninazo ila mara nyingi situmii napenda lipbam.!!
Nna vitu vingi yani napenda harufu nzuri, hata usiku nikioga napenda nilale nikiwa nanukia na msafi, tena nawasha mshumaa wenye harufu najisikia poa sana.!!
 
Nahisi walivyokuja kufanya research wenyewe walichoka kukuta wabongo wamevaa brand zao kuliko kawaida 😂😂😂
Km kkoo utachoka kuna Jordan mpk ya 30,000
Sema kunachonichekesha ni kuwa wabongo wengi wanavaaa feki ila hata hawajui kama ni feki.Utasikia hii saa yangu ni OG nimenunua 8o,000 hii unabaji hiíiiiiii na hakuna kitu utasema waelewe.
 
Sema kunachinuchekesha nu kuwa wabongo wengi wanacaa feki ila hata hawajui kama ni feki.Utasikia hii saa yangu ni OG nimenunua 8o,000 hii unabaji hiíiiiiii na hakuna kitu utasema waelewe.
😂😂😂 Tena hizo saa ndio utacheka, kuna mtu alinionyesha saa ya 70,000 Rolex akaniambia og nikabaki nasikitika peke yangu.!!
Huku bongo tuvae copy tyuu.!!
Hata iPhone copy zipo kibao bongo 😂
 
Back
Top Bottom