Wapi napata genuine CLINIQUE PRODUCTS kwa Dar?

Wapare ni mbwa mbona mi nasemaga 😹😹😹
Hilo kabila wanaume wote vibuyu 🤣

Ww wabembeleze hao diaspora wakufanyie wepesi waitume kwa DHL mambo yaishe, wafanyabiashara watakuharibia muonekano wako na dada yangu ulivyo mzuri.!!
😀😀 yaani wale ni mbweha😂.

Diaspora wanaringa wanakuja kila siku ila wanajidai siku hizi kilo chache wanaruhusiwa kubeba.Ngoja niache ubahili nitumiwe tu kwa dhl.

Sina uzuri wowote dogo ila nasemaga uzuri nikose na usoft pia nikose😂😀
 
Habari.

Naomba msaada kwa anayejua kwa Dar ni wapi naweza kupata CLINIQUE 3 STEPS SET isio fake.

Kuna niliyonunua somewhere,sitataja duka ila nahisi ni fake sbb nimepaka siku moja tu asubuhi nakuta nimepatwa na huto tupele usoni😭😭 😭😭😭😭😭

Imebidi niitupe ila sijui kitu kingine cha kupaka usoni zaidi ya CLINIQUE ambayo naitumia toka niko msichana mpaka leo niko mbibi..

Kabla hujauliza siku zote nilikua nanunua wapi,jibu ni huwa naletewa kutoka abroad ila hajapatikana mtu wa kuja Tz kuniletea na ishaniishia.

NATANGULIZA SHUKRANIView attachment 3048999View attachment 3049001
nimekuona
 
😂😂😂 wapuuzi sana wapare

Fumba macho fungua pochi hakuna namna.!!
Hata km sio mzuri mwanamke usafi na kujipenda bana.!!
 
Habari.

Naomba msaada kwa anayejua kwa Dar ni wapi naweza kupata CLINIQUE 3 STEPS SET isio fake.

Kuna niliyonunua somewhere,sitataja duka ila nahisi ni fake sbb nimepaka siku moja tu asubuhi nakuta nimepatwa na huto tupele usoni😭😭 😭😭😭😭😭

Imebidi niitupe ila sijui kitu kingine cha kupaka usoni zaidi ya CLINIQUE ambayo naitumia toka niko msichana mpaka leo niko mbibi..

Kabla hujauliza siku zote nilikua nanunua wapi,jibu ni huwa naletewa kutoka abroad ila hajapatikana mtu wa kuja Tz kuniletea na ishaniishia.

NATANGULIZA SHUKRANIView attachment 3048999View attachment 3049001
kama mafuta ya mkia wa kondoo au ya ng'ombe yatakufaa ,nipo kukusaidia
 
Jestina wa Zurii pia alikua analeta vitu toka UK ila sasa nikishaona duka lina product na za china nawaza u genuine wa hizo nyingine pia.
SH Amon zamani alikua uhakika sana
Labda zilikuwa hazilipi akaamua kujaziliza faida na za mchina
Kama kuna maduka ya bidhaa za 🇬🇧 basi umenipa idea nzuri, kama wateja mpo safi sana
 
Na bongo hii bidhaa bila kuchakachua hutoboi, ukileta genuine product mzunguko wake mdogo na una wateja wachache.!!
Nimewaza sana hilo
Maana wenye hela wa kulipia bidhaa kama hizo kwa bei hizo ni wachache

Nimeangalia bei zake ni mpaka laki ya bongo sasa nauzaje kwa mfano
Kweli hutoboi bila feki
 
Bongo utawauzia wa ushuani na hao mzunguko wao mdogo, ila unaweza kupiga copy unauza.!!
Wabongo tuna maujinga mengi tunapenda vitu vizuri ila visiwe na bei kubwa.!!
Utakuta kaenda duka lina genuine product katajiwa 150,000 halafu akaenda duka lenye copy bidhaa fake inauzwa 50,000 ataenda kuambia wenzie yule ana bei mwizi wote wanahamia kwenye duka la bidhaa fake.!!

Kufanya biashara na mbongo inataka moyo utazika pesa yako tu.!
 
Na bongo hii bidhaa bila kuchakachua hutoboi, ukileta genuine product mzunguko wake mdogo na una wateja wachache.!!
Hii ni kweli kabisa!

Majuzi tu hapa nilikuwa na extra pair ya Nike [sneakers] nikaamua kuuza.

Mpaka leo sijapata wa kuzinunua. Tatizo ni bei.

Lakini kila nikikatiza mitaa naona watu wamevaa Nike kila sehemu.

Nimekuja kugundua asilimia 99 wanavaa feki 🤣.

Kama una bidhaa isiyo feki, good luck on finding buyers.

Nimeona wadada kibao wana mabegi/ pochi za MCM!

MCM halisi bei yake si ya kitoto.

Watanzania waliopo Tanzania wanapata wapi hela za kununua MCM??

Feki feki feki!
 
Kabisa dogo.

Mwanamke usoft
Mimi nna makorokoro mengi mpk najiogopa 😂😂😂
Shower gel ninazo 6 na zote nazitumia nikiwa naoga, perfume ndio nazigonganisha napata cocktail moja matata sitaki kuhug na mtu unaanza kutoa harufu za ajabu ajabu mi mwenyewe sipendi uchafu.!!
 
Labda zilikuwa hazilipi akaamua kujaziliza faida na za mchina
Kama kuna maduka ya bidhaa za 🇬🇧 basi umenipa idea nzuri, kama wateja mpo safi sana
Watu wanaotamani vitu real wapo ila sidhani kama ni wengi ila fanya research uturahishie maisha.
 
Hii ni kweli kabisa!

Majuzi tu hapa nilikuwa na extra pair ya Nike [sneakers] nikaamua kuuza.

Mpaka leo sijapata wa kuzinunua. Tatizo ni bei.

Lakini kila nikikatiza mitaa naona watu wamevaa Nike kila sehemu.

Nimekuja kugundua asilimia 99 wanavaa feki 🤣.

Kama una bidhaa isiyo feki, good luck on finding buyers.

Nimeona wadada kibao wana mabegi/ pochi za MCM!

MCM halisi bei yake si ya kitoto.

Watanzania waliopo Tanzania wanapata wapi hela za kununua MCM??

Feki feki feki!
😂😂😂😂 Mimi nikiwa mmojawapo wa kuuza Jordan, Nike, Gucci, Prada fake

Pochi zetu sasa za MCM ukitukuta tumezibebelea kwa madoido nahisi mnatucheka sana mkiwa mnatuzoom 😂

Hizo sneakers unaziuza bei gani na size gani nikutafutie wateja.!! Cutting yake ikoje? Normal or big mana hivyo viatu vinatengenezwa kwa watu wa eneo husika.!!
 
Bongo utawauzia wa ushuani na hao mzunguko wao mdogo, ila unaweza kupiga copy unauza.!!
Wabongo tuna maujinga mengi tunapenda vitu vizuri ila visiwe na bei kubwa.!!
Utakuta kaenda duka lina genuine product katajiwa 150,000 halafu akaenda duka lenye copy bidhaa fake inauzwa 50,000 ataenda kuambia wenzie yule ana bei mwizi wote wanahamia kwenye duka la bidhaa fake.!!

Kufanya biashara na mbongo inataka moyo utazika pesa yako tu.!
Basi acha tuendelee kuwauzia mpaka nyundo feki ukigonga msumari nyundo inavunjika anarudi kununua nyingine

Kwa kweli hata mimi nimechanganya bidhaa sana unakuta tairi moja bei mara 4 ya feki unaweka yote tu
 
Back
Top Bottom