Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Kwa machimbo hakuna anaemfikia huyo .. utajiongeza mwenyewe namna ya kumpata.. mi nakupa Tu profile hiyo apo ⬇️⬇️Anapatikana vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa machimbo hakuna anaemfikia huyo .. utajiongeza mwenyewe namna ya kumpata.. mi nakupa Tu profile hiyo apo ⬇️⬇️Anapatikana vipi?
iPhone feki nazisikia tu. Zikoje? Ndo zile ukiziwasha inaonyesha logo ya Itel?😂😂😂 Tena hizo saa ndio utacheka, kuna mtu alinionyesha saa ya 70,000 Rolex akaniambia og nikabaki nasikitika peke yangu.!!
Huku bongo tuvae copy tyuu.!!
Hata iPhone copy zipo kibao bongo 😂
Ziko km hizi og na kila kitu kinafanana hata ukiwasha linatokea tunda ila kwenye iOS ndio mtihani kitu cha android 🤣🤣🤣iPhone feki nazisikia tu. Zikoje? Ndo zile ukiziwasha inaonyesha logo ya Itel?
😁😂😁😂😂😂 Tena hizo saa ndio utacheka, kuna mtu alinionyesha saa ya 70,000 Rolex akaniambia og nikabaki nasikitika peke yangu.!!
Huku bongo tuvae copy tyuu.!!
Hata iPhone copy zipo kibao bongo 😂
😂😂😂 Bongo hata ukivaa og hawashtuki, bora ujivalie brand za kawaida maisha yaendelee.!!😁😂😁
Kweli bora copy coz utavaa kitu kina thamani ya IST na hakuna atakayeshituka sbb mtu anaona ni sawa na ile yake ya kkoo.
Sema kwa bongo naonaga ni bora mtu uvae brands za kawaida kuliko hayo ma big brands fake.
Cha muhimu mirror selfie😀😂Ziko km hizi og na kila kitu kinafanana hata ukiwasha linatokea tunda ila kwenye iOS ndio mtihani kitu cha android 🤣🤣🤣
Mara nyingi wanazifungia, nina rafiki yangu ana import kutoka Dubai ndio biashara zake.!!
Hilo ndio muhimu bila kusahau yale macho matatu 😂😂😂Cha muhimu mirror selfie😀😂
Nina fundi wangu bitozi akimaliza kazi jioni anapaka yale mafuta ya mgando yananukiaaaa halafu anatupia tshirt yake matata ya Bucci(sio gucci) hlf anakwambia,hivi shem tukikutana huko duniani utajua mi fundi ujenzi,namwmbia itakua ngumu kujua,anafurahi anasema shem mi bongo bahati mbaya.😂😂😂 Bongo hata ukivaa og hawashtuki, bora ujivalie brand za kawaida maisha yaendelee.!!
Hizo feki huwa zina IMEI number?Ziko km hizi og na kila kitu kinafanana hata ukiwasha linatokea tunda ila kwenye iOS ndio mtihani kitu cha android 🤣🤣🤣
Mara nyingi wanazifungia, nina rafiki yangu ana import kutoka Dubai ndio biashara zake.!!
Ndo kitu gani hiko lo??
😂😂😂 nimecheka yani huyo achinjwe xmas kazingua na kaharibu kabisa Bucci tenaah.!!Nina fundi wangu bitozi akimaliza kazi jioni anapaka yale mafuta ya mgando yananukiaaaa halafu anatupia tshirt yake matata ya Bucci(sio gucci) hlf anakwambia,hivi shem tukikutana huko duniani utajua mi fundi ujenzi,namwmbia itakua ngumu kujua,anafurahi anasema shem mi bongo bahati mbaya.
Sasa hapo ukija na gucci yako ya mamilion anakuona mwenzie tu na huna kitu utafanya😁
Kuna simu za tochi zina ringtone za IPhone nachekaga 😂😂Kuna siku nilisikia mtu anaulizia kama kuna cover ya simu inayofanana na iphone,mwanzoni sikuekewa ila nilivyoelewa nilichoka😁
Hata sijui coz sijawahi kuzitumia hizo simu, naonaga akizipost tu.!!Hizo feki huwa zina IMEI number?