Wapi naweza kupata Academy nzuri ya mpira wa miguu?

Wapi naweza kupata Academy nzuri ya mpira wa miguu?

Sonanoko

Member
Joined
Jan 23, 2021
Posts
5
Reaction score
1
Habar wana jamvi..

Kwa DSM ama nje ya DSM wapi naweza kupata academy nzuri ya kumkuza mwanangu kwenye mpira wa miguu?

Kijana ana miaka 8 na anapenda sana mpira. Sasa maona ni wakati mwafaka wa kumkutengenezea njia ya ndoto zake.
 
Wasiliana na Magnet youth sports, WANA academy nyingi, japo nahisi mtoto atakuwa anatokea nyumbani.
 
Mimi nakupa neno tu, simamia na kiendeleze kipaji cha mwanao kwa gharama yoyote ile. Usikate tamaa tafadhali
 
Kwa Sasa mpira ni pesa aisee..simamia kipaji Cha mtoto hiko atoboe leo Msuva kashinda kesi atalipwa 1.6B Noma Sana.
 
Habar wana jamvi..

Kwa DSM ama nje ya DSM wapi naweza kupata academy nzuri ya kumkuza mwanangu kwenye mpira wa miguu?

Kijana ana miaka 8 na anapenda sana mpira. Sasa maona ni wakati mwafaka wa kumkutengenezea njia ya ndoto zake.
Mkuu ukipata nitag..Mimi nikipata yenye sekondari nitafurahi zaidi
 
Back
Top Bottom