Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukipata nitag..Mimi nikipata yenye sekondari nitafurahi zaidiHabar wana jamvi..
Kwa DSM ama nje ya DSM wapi naweza kupata academy nzuri ya kumkuza mwanangu kwenye mpira wa miguu?
Kijana ana miaka 8 na anapenda sana mpira. Sasa maona ni wakati mwafaka wa kumkutengenezea njia ya ndoto zake.
Hawa wapo wapi ofs zao ama hii iko wapi?Wasiliana na Magnet youth sports, WANA academy nyingi, japo nahisi mtoto atakuwa anatokea nyumbani.
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app