Mimi ninayo ya HSBC nitumie email address yakoNahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Kwa kuinunua? Unamaanisha bank statement yoyote tu, au ya account yako?Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Tangu lini bank statement ikauzwa! Huoni hiki unachotaka kufanya hapa ni kitendo cha kihalifu?Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Ndio Nia yake huyu....tuone kama atarudi hapa...Tangu lini bank statement ikauzwa! Huoni hiki unachotaka kufanya hapa ni kitendo cha kihalifu?
Yaani unataka kuingia makubaliano na mfanyakazi wa benk ili abadilidhe jina la mtu mwenye akaunti yenye mzunguko mkubwa wa fedha, na kuweka jina lako ili ionekane hiyo akaunti ni ya kwako! Na hivyo kukusaidia kukopesheka, au kuanzisha taasisi kama shule, nk.
Huu ni uhujumu uchumi bila shaka.
Utaishia kupigwaNahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Ungesema umekwama wapi usaidiwe mawazoNahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Mtoa mada au wakomentiji? 🤣Acheni unafiki jamani..haya mambo mnajifanya wagenii...ya kawaida tu haya
kwani wa tz kwa unafk si ndiyo jadi yaoAcheni unafiki jamani..haya mambo mnajifanya wagenii...ya kawaida tu haya
NYie wakomentaji🤣😤Mtoa mada au wakomentiji? 🤣
Tumefanyaje dada?NYie wakomentaji🤣😤
Kesho tukiitwa Mahakamani kutoa ushahidi wa Kugushi ataona anaonewa!!Tangu lini bank statement ikauzwa! Huoni hiki unachotaka kufanya hapa ni kitendo cha kihalifu?
Yaani unataka kuingia makubaliano na mfanyakazi wa benk ili abadilidhe jina la mtu mwenye akaunti yenye mzunguko mkubwa wa fedha, na kuweka jina lako ili ionekane hiyo akaunti ni ya kwako! Na hivyo kukusaidia kukopesheka, au kuanzisha taasisi kama shule, nk.
Huu ni uhujumu uchumi bila shaka.
Hawaombi..zinauzwa..Tumefanyaje dada?
Me sijawahi sikia kama watu wanaombana bank za statement aisee.