Wapi naweza kupata Bank statement?

Wapi naweza kupata Bank statement?

Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Tangu lini bank statement ikauzwa! Huoni hiki unachotaka kufanya hapa ni kitendo cha kihalifu?

Yaani unataka kuingia makubaliano na mfanyakazi wa benk ili abadilidhe jina la mtu mwenye akaunti yenye mzunguko mkubwa wa fedha, na kuweka jina lako ili ionekane hiyo akaunti ni ya kwako! Na hivyo kukusaidia kukopesheka, au kuanzisha taasisi kama shule, nk.

Huu ni uhujumu uchumi bila shaka.
 
Ndio Nia yake huyu....tuone kama atarudi hapa...
 
Tangu lini bank statement ikauzwa! Huoni hiki unachotaka kufanya hapa ni kitendo cha kihalifu?

Yaani unataka kuingia makubaliano na mfanyakazi wa benk ili abadilidhe jina la mtu mwenye akaunti yenye mzunguko mkubwa wa fedha, na kuweka jina lako ili ionekane hiyo akaunti ni ya kwako! Na hivyo kukusaidia kukopesheka, au kuanzisha taasisi kama shule, nk.

Huu ni uhujumu uchumi bila shaka.
Kesho tukiitwa Mahakamani kutoa ushahidi wa Kugushi ataona anaonewa!!
 
Back
Top Bottom