Wapi naweza kupata Bank statement?

Wapi naweza kupata Bank statement?

[emoji16][emoji16] aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Vipi umelamba Scholarship nini? Au unataka kwenda kusalimia kidogo majuuu kabla hujalizwa na watabe kuhusu statements cha kwanza eleza vizuri aina ya visa unayotaka kuchukua ili tukushauri Jinsi gani ucheze na statements na form ya uliyopewa kujaza....KwanA unaena kwa ajili ya Tourisism au kufanya kazi au Kibiashra?
 
Ukimweka kama sponsor mwenye Hiyo statements Hawazingui sana
Fanya ufanyavyo,mradi tu taarifa zako ziwe za kweli na hazipishani,hapo Mzungu atakuamini na viza atakupa,lakini akistuka kua taarifa zako ni za uwongo,sahau kabisa kuhusu hiyo viza,na unawekwa kwenye kundi la Jinai ( forgery)

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mzee wakizingua ubalozi wa Tz usiogope nenda uganda au kenya Kule huwa hakuna mambo mengi sana na unaweza pia kupata uraia huko Simple sana...
 
Tafuta sana mkwanja dogo vitu kama bs sio vya kuanza kuleta ujanja ujanja. Umri wa kuwa na mzunguko wa pesa ni sasa mbali na hapo utalalamika na kulaumu watu buree ukiwa upo kwa mnyampara mkuu
 
Mzee wakizingua ubalozi wa Tz usiogope nenda uganda au kenya Kule huwa hakuna mambo mengi sana na unaweza pia kupata uraia huko Simple sana...
Ubalozi gani?

Maana balozi nyingi wana taka uombee ktk nchi unayoishi... kama mzawa au una permit ya kuishi...! Balozi nyingi hazitaki uombe visa nchi nyingine ambayo haupati sifa za kuombea visa

Itabidi nipitie hizi balozi zilizopo kenya niweze kuona vigezo walivyo viweka
 
Ina maanisha kwamba anachukua Cheti cha kuzaliwa cha Uganda uraia wa uganda (NIRA) Anakuwa Raia kamili wa uganda hvyo hvyo kwa kenya Tena kenya hata akiwa Raia wa Tz wanakubali uraia pacha
 
Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Karibu ughaibuni. Lakini wakijua kuwa ume-"fake bank statment", asubuhi mapema wanaku-"depot" na kukupa "life ban" ya kutokanyaga ardhi yao maisha yako yote.

Endelea na huo mchakato ukija kunyakwa utafurahi mwenyewe.

Karibu mitaa ya Rodeo Drive karibu na viwanja vya Skid Row.
 
Zamani ilikuwepo hio, unakuta akaunti haina transactions na salio la kutosha mtu anaongea na staff wa bank anakutengenezea uonekane ina turn over nzuri. Wengi wakizitumia kuombea visa ubalozini. Lkn baadae inaonekana embassy zikaufahamu mchezo wakawa wakipokea bank statements wanaziscan bank husika kuconfirm kwa manager. Ikigundulikana tu kama umecheat unawekwa kwenye Black list ndio imetoka hio no more safaris utaziskia kwa wenzio tu
Kiukweli ukienda kuomba visa wanaomba bank statement then wanaicheki wanakurudishia hakuna mwenye uo muda wa kwenda bank ww acheni kupotosha. Yan mzungu akizhasema amekugrant visa umetoboa hzo mbambamb ni zenu wengi wanaenda hvo mambere
 
Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Nenda bank yeyote tizama kwenye trashcans zao kama hukuti humo basi waombe wahudumu wa benki wakusaidie
 
Tafuta sana mkwanja dogo vitu kama bs sio vya kuanza kuleta ujanja ujanja. Umri wa kuwa na mzunguko wa pesa ni sasa mbali na hapo utalalamika na kulaumu watu buree ukiwa upo kwa mnyampara mkuu
Unajua umri wake?
 
Back
Top Bottom