Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Kwa Mtanzania ukitaka kunyooka kwa kila jambo hutoboi hata interview ya kazi tu unaweza kupigwa chini ukijifanya eti wewe ni smart umenyooka asilimia 100.
💯
💯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da! yaani statement ya bank hapajui zinakopatikana!!??????Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Kama ni ya kuombea visa hasa hasa nchi za USA, UK au Germany usithubutu utashikwa. Inapelekwa huko huko Bank husika for verification. So Kaa rada.Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Atafute tu mtu wa kum sponsor.Kama ni ya kuombea visa hasa hasa nchi za USA, UK au Germany usithubutu utashikwa. Inapelekwa huko huko Bank husika for verification. So Kaa rada.
Vipi umelamba Scholarship nini? Au unataka kwenda kusalimia kidogo majuuu kabla hujalizwa na watabe kuhusu statements cha kwanza eleza vizuri aina ya visa unayotaka kuchukua ili tukushauri Jinsi gani ucheze na statements na form ya uliyopewa kujaza....KwanA unaena kwa ajili ya Tourisism au kufanya kazi au Kibiashra?Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Ukimweka kama sponsor mwenye Hiyo statements Hawazingui sanaKama ni ya kuombea visa hasa hasa nchi za USA, UK au Germany usithubutu utashikwa. Inapelekwa huko huko Bank husika for verification. So Kaa rada.
Yeah huo ndio ukweli wengi tumeyafanya Sana...Tena kutafutia visa halfu nashangaa mtu anakuja anasema eti Ni uhujumu uchumi.....Nyuma ya pazia Yey kashafanya zaid ya mara 20Acheni unafiki jamani..haya mambo mnajifanya wagenii...ya kawaida tu haya
Fanya ufanyavyo,mradi tu taarifa zako ziwe za kweli na hazipishani,hapo Mzungu atakuamini na viza atakupa,lakini akistuka kua taarifa zako ni za uwongo,sahau kabisa kuhusu hiyo viza,na unawekwa kwenye kundi la Jinai ( forgery)Ukimweka kama sponsor mwenye Hiyo statements Hawazingui sana
Yess yanafanyika sana, but rule no one of the game, "Never get caught"Yeah huo ndio ukweli wengi tumeyafanya Sana...Tena kutafutia visa halfu nashangaa mtu anakuja anasema eti Ni uhujumu uchumi.....Nyuma ya pazia Yey kashafanya zaid ya mara 20
That is role number one and rule number two dont ket th suspect you...And if you looks suspisious remember rule number one....Yess yanafanyika sana, but rule no one of the game, "Never get caught"
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mzee wakizingua ubalozi wa Tz usiogope nenda uganda au kenya Kule huwa hakuna mambo mengi sana na unaweza pia kupata uraia huko Simple sana...Fanya ufanyavyo,mradi tu taarifa zako ziwe za kweli na hazipishani,hapo Mzungu atakuamini na viza atakupa,lakini akistuka kua taarifa zako ni za uwongo,sahau kabisa kuhusu hiyo viza,na unawekwa kwenye kundi la Jinai ( forgery)
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ubalozi gani?Mzee wakizingua ubalozi wa Tz usiogope nenda uganda au kenya Kule huwa hakuna mambo mengi sana na unaweza pia kupata uraia huko Simple sana...
Ina maanisha kwamba anachukua Cheti cha kuzaliwa cha Uganda uraia wa uganda (NIRA) Anakuwa Raia kamili wa uganda hvyo hvyo kwa kenya Tena kenya hata akiwa Raia wa Tz wanakubali uraia pachaUbalozi gani?
Maana balozi nyingi wana taka uombee ktk nchi unayoishi... kama mzawa au una permit ya kuishi...! Balozi nyingi hazitaki uombe visa nchi nyingine ambayo haupati sifa za kuombea visa
Itabidi nipitie hizi balozi zilizopo kenya niweze kuona vigezo walivyo viweka
Karibu ughaibuni. Lakini wakijua kuwa ume-"fake bank statment", asubuhi mapema wanaku-"depot" na kukupa "life ban" ya kutokanyaga ardhi yao maisha yako yote.Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Ameombwa ili apewe Visa. Hahahaaaaa, acha huo ujanja.Bank statement haiuzwi kama pipi... nenda bank husika wakakupe ' ila watakata pesa kwenye acc yako.
Kiukweli ukienda kuomba visa wanaomba bank statement then wanaicheki wanakurudishia hakuna mwenye uo muda wa kwenda bank ww acheni kupotosha. Yan mzungu akizhasema amekugrant visa umetoboa hzo mbambamb ni zenu wengi wanaenda hvo mambereZamani ilikuwepo hio, unakuta akaunti haina transactions na salio la kutosha mtu anaongea na staff wa bank anakutengenezea uonekane ina turn over nzuri. Wengi wakizitumia kuombea visa ubalozini. Lkn baadae inaonekana embassy zikaufahamu mchezo wakawa wakipokea bank statements wanaziscan bank husika kuconfirm kwa manager. Ikigundulikana tu kama umecheat unawekwa kwenye Black list ndio imetoka hio no more safaris utaziskia kwa wenzio tu
Nenda bank yeyote tizama kwenye trashcans zao kama hukuti humo basi waombe wahudumu wa benki wakusaidieNahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Unajua umri wake?Tafuta sana mkwanja dogo vitu kama bs sio vya kuanza kuleta ujanja ujanja. Umri wa kuwa na mzunguko wa pesa ni sasa mbali na hapo utalalamika na kulaumu watu buree ukiwa upo kwa mnyampara mkuu