92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Utanisaidia nini nikiujua?Unajua umri wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utanisaidia nini nikiujua?Unajua umri wake?
Vipi umelamba Scholarship nini? Au unataka kwenda kusalimia kidogo majuuu kabla hujalizwa na watabe kuhusu statements cha kwanza eleza vizuri aina ya visa unayotaka kuchukua ili tukushauri Jinsi gani ucheze na statements na form ya uliyopewa kujaza....KwanA unaena kwa ajili ya Tourisism au kufanya kazi au Kibiashra?
Yeah zinauzwa kwa ajili ya Viza lakini si unajua visa lazma uonyeshe kiwango ambcho kitaonyesha kama unawwz kumudu Kuishi unakoenda kwahyo aidha wewe au Sponsor lazma muwe na uwezo kiuchumi ndo hapo mchongo wa statemnts unapokujaaa....Huh Uzi umenifanya nicheke sana, Yaani bank statement inauzwa ???
Mjini hapa,hata wwe ukizubaa kidogo tu unauzwa faster!! HahahaHuh Uzi umenifanya nicheke sana, Yaani bank statement inauzwa ???
hiv huwa bei gan kuoata statement ya mwezi 2. wanakata bei gan?Bank statement haiuzwi kama pipi... nenda bank husika wakakupe ' ila watakata pesa kwenye acc yako.
Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
Fogery ina dhamana ila ukipatikana na hatia hukumu yake ni kifungo jela si chini ya miaka 6 na haina option ya faini.Hivi forgery ina dhamana ukikamatwa!!??