Wapi naweza kupata deni la taifa hadi kufikia leo?

Wapi naweza kupata deni la taifa hadi kufikia leo?

Hukumsikia waziri wa fedha juzi akisema ni Trilioni 71.5 ? Au hufuatilii mambo ya nchi yako?
 
 
BOT monthly report, ukiingia kwenye web yao utaona kila kitu na sio Sasa tu hata ukitaka kujua ya zamanii report zote zipo.

Ila Kama una kichwa panzi hutaelewa. Kukusaidia Deni ni trillion 71
 
Back
Top Bottom