Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
I understood you the first time my friend. .Nasisitiza sihitaji msaada wako mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I understood you the first time my friend. .Nasisitiza sihitaji msaada wako mkuu.
Nice boy!I understood you the first time my friend. .
woof woof woofNice boy!
Kwanza kama mwanaume pambana acha umlenda kitabu chako usaidiwe kupublishYes nazifahamu girls'rights. Hata wewe ukitaka kuzifahamu ni rahisi sana zipo kila sehemu hata umu mitandaoni sio elimu ngeni sana.
Kuhusu kukopa sipo tayari kwa sasa maana biashara aianzishwi na mkopo mkopo uja kuistrengthen.
Nimejiuliza hicho kitabu kitakuwa chanin kama kina vitu ambavyo wanajifunza daily hao girlsSasa Kama ziko mtandaoni why would I buy your book if I could easily read them online?
This is a tricky question think before you answer. .
😀🤣Nimejiuliza hicho kitabu kitakuwa chanin kama kina vitu ambavyo wanajifunza daily hao girls
Kama kina content akakope hela
Nafikikiri itakua si kile cha "how to make money""vitabu vya financial education"
Jf ina watu wakuhojiJF umekuwa mtandao wa hovyo wa kuwakatisha watu tamaa na kuharibu mijadala ya kujenga jamii. Hapa umeleta wazo zuri lakini kwa baadhi ya watu hovyo kabisa!
Yaan kisiuzwe tuwe tunadownload kwa kbs kadhaa[emoji1787][emoji1787]Hata hizo e book wanataka za bure Kwa kifupi wabongo na shortcut ni damu Damu
Hyo jeur mkalHapana siitaji uwekezaji wako.
Ukihojiwa jibu hoja kuna muda unahic unakatishwa tamaa kumbe wanakujengaMkuu awa wakatishaji tamaa mimi siwazingatii kabisa ndio maana nawajibu wanachostahiki. Watu wenye kukujenga hata wakijitokeza wawili wanatosha sana.
Natafuta fund sio kujengwa. So maswali ya kinafki sioni umuhimu kuyajibu.Ukihojiwa jibu hoja kuna muda unahic unakatishwa tamaa kumbe wanakujenga
Tukisimama wanakimbia wanaviburi hawa ndugu acha tu. Yaani wao ni ama umruhusu na kumuachia akupande kichwani au asiishi na wewe akatafute kilaza.Pole mkuu kwa changamoto za kimahusiano zinazokusumbua. Nashauri tu ukiwa kwenye mahusiano simama kama mwanaume utakuwa kichwa kwenye relationship yako. Pia mimi sijaomba unichangie hela au comprehension ni tatizo?
Asante mkuu. Je unafahamu kampuni na hizo gharama za kuchapa copy 100 unisaidie taarifa?Kama wewe ni mwandishi mchanga kupata udhamini ni chini ya asilimia 1% pambana uchapishe mwenyewe kwasasa Kuna mitambo midogo inayoweza kutoa Hadi idadi ya copy 100 huwezi shindwa. Ukishinda kabisa fanya self publishing online lulu.com , bluu au amazon
Yes Kuna kampuni wanachapa copy hata chache kuanzia 100 bei zake sio kubwa Sana inaanzia 1700 kupanda juu kulingana na idadi ya copy na sometimes pages kadri unavyoacha copy nyingi Bei inapungua ,, kuhusu sef publishing ya unaweza kufanya kila kitu online mtu akioda anapelekewa hadcopyAsante mkuu. Je unafahamu kampuni na hizo gharama za kuchapa copy 100 unisaidie taarifa?
Hiyo self publishing inakuwaje nna weza design kitabu mwenyewe online? I appreciate your infos.
Mkuu naomba nisaidie namna ya kuzifikia hao printers wa hizo bei hata PM kama hapa unashindwaYes Kuna kampuni wanachapa copy hata chache kuanzia 100 bei zake sio kubwa Sana inaanzia 1700 kupanda juu kulingana na idadi ya copy na sometimes pages kadri unavyoacha copy nyingi Bei inapungua ,, kuhusu sef publishing ya unaweza kufanya kila kitu online mtu akioda anapelekewa hadcopy
Wasiliana na Hawa wanahuma nzuri Sana mkuu nimechapa hapo kazi zangu mbili, geofreymakula@gmail.comMkuu naomba nisaidie namna ya kuzifikia hao printers wa hizo bei hata PM kama hapa unashindwa
Shukrani sana mkuu, be blessed!Wasiliana na Hawa wanahuma nzuri Sana mkuu nimechapa hapo kazi zangu mbili, geofreymakula@gmail.com