Wapi naweza kupata huduma ya Tractor kati ya maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe

Wapi naweza kupata huduma ya Tractor kati ya maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe

BwanaSamaki012

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
212
Reaction score
250
Wakuu habari za wakati huu?

Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga)

Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja kwa moja tufanye makubaliano
 
Back
Top Bottom