Wapi naweza kupata kuku wa kienyeji kama wale wa KFC?

Wapi naweza kupata kuku wa kienyeji kama wale wa KFC?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji.

Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa kuchoma au kukaanga mara nyingi huwa anakuwa mgumu kuliko wale wa kisasa? Mara nyingi watu wanapokula kuku wa kienyeji inabidi watumie nguvu kubwa za ziada kulliko wa kisasa.
Huu ugumu wa kuku wa kienyeji huwa unasabaishwa na nini??
 
Sasa wewe ndo tunakutegemea utupe majibu mkali wa hizi kazi, na wewe tena unatuuliza sisi..?
Mleta Mada kasema anataka kuku wa kienyeji walionona kama wale wa KFC....
Ndiyo nikauliza hapo..
 
Back
Top Bottom