Ufugaji....Kwa kifupi kuku wakienyeji huchukuwa angalau miezi SITA mpaka aliwe...wakati wakisasa huchukuwa wiki tatu Toka aanguliwe mpaka awe tayari kuliwa.....utaona tofauti hapo 🤔Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji.
Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa kuchoma au kukaanga mara nyingi huwa anakuwa mgumu kuliko wale wa kisasa? Mara nyingi watu wanapokula kuku wa kienyeji inabidi watumie nguvu kubwa za ziada kulliko wa kisasa.
Huu ugumu wa kuku wa kienyeji huwa unasabaishwa na nini??