Hv huyu ephen ndio star wa sasa wa jf kwa wanawake. Manake kila kona yupoNgoja waje kukupa elimu Cc ephen_
Sasa wewe ndo tunakutegemea utupe majibu mkali wa hizi kazi, na wewe tena unatuuliza sisi..?Kwani wale wa KFC ni kienyeji?
Au ni mimi sijaelewa...
Wewe ni mwanamke 🤔🤔??Hv huyu ephen ndio star wa sasa wa jf kwa wanawake. Manake kila kona yupo
Hivi hawa Kuku wanaoitwa wa kisasa ina maanisha kua hawa Kuku zamani hawakuwepo? au ndio hao hao ambao zamani walikua wakiitwa Kuku wa kizungu?Kuku wa kisasa kwa supu, mchemsho au makange sio mtamu.
Kuku wa kienyeji ana raha yake.Ndio maana huwa sipendi kuku wa kienyeji. Kuku mgumu utafikiri nini, siwezi kuumiza taya zangu kisa kuku wakati kuna option ya kuku laini.
Sheikh yule yule kabadiri rangi ya kanzu😂Chupa mpya mvinyo ule ule.
Nigeuzie utajua mimi ni nani huwa naongea kwa vitendoWewe ni mwanamke 🤔🤔??
Mleta Mada kasema anataka kuku wa kienyeji walionona kama wale wa KFC....Sasa wewe ndo tunakutegemea utupe majibu mkali wa hizi kazi, na wewe tena unatuuliza sisi..?