Wapi naweza kupata kuku wa kienyeji kama wale wa KFC?

Ufugaji....Kwa kifupi kuku wakienyeji huchukuwa angalau miezi SITA mpaka aliwe...wakati wakisasa huchukuwa wiki tatu Toka aanguliwe mpaka awe tayari kuliwa.....utaona tofauti hapo πŸ€”
 
Ufugaji....Kwa kifupi kuku wakienyeji huchukuwa angalau miezi SITA mpaka aliwe...wakati wakisasa huchukuwa wiki tatu Toka aanguliwe mpaka awe tayari kuliwa.....utaona tofauti hapo πŸ€”
Wa kisasa si huwa anahudimiwa vizuri mkuu, mfugaji anahakikisha chakula sahihi, chanjo na joto muafaka muda wote wakati wale wa kienyeji wanakuzwa kama yatima waliotelekezwa, wengi wanawafungulia wajitafutie chakula au wanapewa mabaki ya chakula kama ukoko kila siku. Labda hata hao wa kienyeji wakipata matunzo wanawahi kukua.
 
tengeneza mwenyewe nyumbani

fanya kum marinate usiku kucha au masaa 6 na zaidi, weka viungo vya kutosha funika weka kwenye friji asubuhi mchemshe kidogo alainike zaidi then akipoa ndo ueke viungo kama za KFC kaanga uendelee
 
Ona sasa maandalizi kama nyama ya nyati! Shida yote ya nini? Halafu sijui ladha naona overated tu bila viungo kuku ni kuku tu jogoo jina.
 
Ona sasa maandalizi kama nyama ya nyati! Shida yote ya nini? Halafu sijui ladha naona overated tu bila viungo kuku ni kuku tu jogoo jina.
maandalizi ndo utamu wenyewe sasa bila maandalizi inakuaje πŸ˜€ πŸ˜€

kwene maandalizi ndo utamu unakopatikana so ukikosea maandalizi huwezi pata utamu wa ladha
 
maandalizi ndo utamu wenyewe sasa bila maandalizi inakuaje πŸ˜€ πŸ˜€

kwene maandalizi ndo utamu unakopatikana so ukikosea maandalizi huwezi pata utamu wa ladha
Ndugu msomaji ELEWA NENO UTAMU.
 
Wale kuku ni imported ndugu, wanakuja washachinjwa.ushasikia KFC wanauza filigisi?kingine ni utaalamu wa mapishi.
Hapo kuna ngano zimewekwa huko sijui viungo gani pia.
Kuki wa KFC Wana kuwa imported Toka South Africa na Kenya

Kulikuwa na Kampuni Tanzania ya waitaliano I aotwa Amadoli sijui kama Bado wapo walikuwa supplier wakubwa wa KFC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…