Wapi naweza kupata pizza kwa Mbeya mjini

2018

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
546
Reaction score
779
Wakuu wa wakuu;

Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
 
Tukuyu Ushirika ukishashuka nenda kushoto!kuna pizza ya kitimoto na ndizi pale safi kabisa uku unashushia na bia spirit au banana
 
Wakuu wa wakuu;

Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
Usungilo pale mkuu....bei ni cheap kidogo inarange kwenye 15k kwa medium ile
 
Wakuu wa wakuu;

Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
Mbele ya ujenzi kama unaenda mjini/Sokomatola..katisha njia inayopita nyuma ya Sokoine stadium inayoenda Uhindini..
Unavokata kona tu utaona Restaurant...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ