Wapi naweza kupata pizza kwa Mbeya mjini

Wapi naweza kupata pizza kwa Mbeya mjini

Mbeya na pizza wapi na wapi, ila kwa msaada nenda upaimiwe lumbesa ya chips kule IKUTI karibu na Mbeya university (MUST) bila kusahau kitimoto na mihogo ya kyela mixer na mawese.
 
hhahahaha...ss hv nimebadili mazingira...sipati chai nayoitaka
..so asbh saa2 unusu nakula ugali mbuzi au ugali samaki...yaan hyo ni daily .alafu nishazoea kbs...ila mchana napiga deshi..jion nakula fruits...lakini nashangaa nanenepa[emoji22][emoji22]..kuna mazingira kunywa chai na chapati unapoteza muda wako.kazi kazi
Aisee karibu basi
tapatalk_1562677189925.jpeg
 
Back
Top Bottom