Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Oohh ndo maana kuna comment yako moja kwenye thread moja hivi niliona umeandika enzi za Matema Beach kwani si ulikuwa unazungumzia ya Kyela au labda kuna ya mkoa mwingine?Nimes
Nimeskuli.Mbeya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oohh ndo maana kuna comment yako moja kwenye thread moja hivi niliona umeandika enzi za Matema Beach kwani si ulikuwa unazungumzia ya Kyela au labda kuna ya mkoa mwingine?Nimes
Nimeskuli.Mbeya
Oohh ndo maana kuna comment yako moja kwenye thread moja hivi niliona umeandika enzi za Matema Beach kwani si ulikuwa unazungumzia ya Kyela au labda kuna ya mkoa mwingine?
Edelyn uko mbeya!??.Nenda Hill View Hotel au Desderia Hotel zote zipo Uzunguni
Aisee umesomea huko huko Kyela au Mbeya mjini au wilaya gani?huko huko kyela[emoji28]
Yes mamaa na wewe upo huku nini?Edelyn uko mbeya!??.
Teh ...Nadhan nnakaribia mwaka...hhahaa..tena upate ya beef[emoji39][emoji39][emoji39]
Huyu manengelo amesoma mbeya vijijini...ni jirani angu tunafahamiana nae vizuri 😂 😂 😂Aisee umesomea huko huko Kyela au Mbeya mjini au wilaya gani?
Aisee karibu basihhahahaha...ss hv nimebadili mazingira...sipati chai nayoitaka
..so asbh saa2 unusu nakula ugali mbuzi au ugali samaki...yaan hyo ni daily .alafu nishazoea kbs...ila mchana napiga deshi..jion nakula fruits...lakini nashangaa nanenepa[emoji22][emoji22]..kuna mazingira kunywa chai na chapati unapoteza muda wako.kazi kazi
Matem beach !huko huko kyela[emoji28]
Ni mwanaume Ila wa dar.sorry ni mvulana wa darJinsia pls?[emoji6]
Na wewe umekulia Kyela mkuu?Matem beach !
Enzi zangu za ujana
Ndiyo mkuu...karibu city pub hapaHahahaha au siyo??
Nenda nyumbani Kwa tulia acksonWakuu wa wakuu;
Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
Seems you can't afford it unatumia hicho kisingizio [emoji1][emoji1](joking)we nawe ni mwanachama kumbe wa pizza!bora ugali dagaa kuliko piza
Tangu lini mtu umezaliwa na kukulia kwenye ugali ukapata radha ya pizza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?(just joking)Ktk vyakula ambavyo havina ladha na sivipendi ni pizza, na sjui watu wanavipenda nn, bora ata chips kavu
Imenibidi nikazoom profile yako mkazi mwenzangu wa Mbeya [emoji4][emoji4]Na wewe umekulia Kyela mkuu?
Hahahaha uko city pub saa hizi mkuu?Ndiyo mkuu...karibu city pub hapa