Wapi naweza kupata pizza kwa Mbeya mjini

Wapi naweza kupata pizza kwa Mbeya mjini

Jamani sipend kitu kinaitwa maharage mm[emoji21][emoji21]..naona km nimeyala sana kwa chief cooker phss[emoji21][emoji21]

Alafu kaugali.kaduuchu..pia mtindi mie sipendelei..sikumbuki kunywa lini eti...udogoni asbh nilikua nakunywa mtindi mchana na usk..ss hb ht kijiko ki1 sipendi
Hahaha aisee

Basi sawa ngoja mi niende kazini na wife na kiporo chetu
tapatalk_1562677189925.jpeg
 
hhahahaha...ss hv nimebadili mazingira...sipati chai nayoitaka
..so asbh saa2 unusu nakula ugali mbuzi au ugali samaki...yaan hyo ni daily .alafu nishazoea kbs...ila mchana napiga deshi..jion nakula fruits...lakini nashangaa nanenepa😢😢..kuna mazingira kunywa chai na chapati unapoteza muda wako.kazi kazi
ratiba yako nimeikubali....hongera!!!
 
Mara ya mwisho nimekula pale opposite na Lift Valley hotel unakuwa kama unafuata njia ya Chunya utaona kuna Car Wash.Wana Pizza nzuri sana,bei sikumbuki ila ni kati ya 7K to 8K.
 
Hill view hotel, Metro nyuma ya Sokoine stadium, pia Esso opposite na sheli pale kuna cafe mpya imefunguliwa jina nimesahau. Hizo place lazima utapata Pizza nzuri sana hasahasa Hill View ndio nawakubali.
 
Mkuu mm siishi Tz nimesepa kitambo sana, huku ninakoishi pizza [emoji487] ni kama tembere kwa kikwetu, nakuambia mm pizza sina time nazo kabisa, nikienda kwa mageto ya washkaj wenzangu wananunua mm huwaga sigusi kabisa coz naona hazina ladha, huku kuku na piza sio ishu, ni vyakula ambavyo vya kawaida sana, katika vyakula rahisi ni pizza [emoji487] na chicken [emoji215], yaani uku kuku tunaita dagaaa, bora ata fresh fish, pweza au ngisi ni adimu kupata na ni ghali
Tangu lini mtu umezaliwa na kukulia kwenye ugali ukapata radha ya pizza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?(just joking)
 
[emoji1654] Prawns watam sana sana sana, ukiwakaanga duh dadeki, huku niliko mm ni ghali sana, alaf si rahisi kupata kama wa kwetu yaani fresh, sana sana utapata waliokaa kwenye mafiji muda mrefu, so unapowapika wanakua hawana ladha kama wakwetu
[emoji28][emoji28][emoji28]..mie nilichoshindwa prawns jaman..chefuu
 
[emoji1654] Prawns watam sana sana sana, ukiwakaanga duh dadeki, huku niliko mm ni ghali sana, alaf si rahisi kupata kama wa kwetu yaani fresh, sana sana utapata waliokaa kwenye mafiji muda mrefu, so unapowapika wanakua hawana ladha kama wakwetu


Dah..mie jaman had nasismka hapa
 
Back
Top Bottom