Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahaha aiseeJamani sipend kitu kinaitwa maharage mm[emoji21][emoji21]..naona km nimeyala sana kwa chief cooker phss[emoji21][emoji21]
Alafu kaugali.kaduuchu..pia mtindi mie sipendelei..sikumbuki kunywa lini eti...udogoni asbh nilikua nakunywa mtindi mchana na usk..ss hb ht kijiko ki1 sipendi
Basi sawa ngoja mi niende kazini na wife na kiporo chetu