Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
Ulaya ya kusiwani mkuuMwezi wa 7?,kwani unatoka nayo wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulaya ya kusiwani mkuuMwezi wa 7?,kwani unatoka nayo wapi
Kuuliza vipi zipo zimekuwa dili sasa watuUkipita niulizie basi mkuu nipo mbali
Hiyo ni nokia model ganiKuuliza vipi zipo zimekuwa dili sasa watu
Wengi wenye simu janja wana Nokia pembeni sababu inakaa na chaji na ziko imara mi natumia hii.
We nenda tu na hiyo picha
View attachment 1826240
Watu hawana helaNowdays JF watu wamechafukwa mno![emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Hii model ganiKuuliza vipi zipo zimekuwa dili sasa watu
Wengi wenye simu janja wana Nokia pembeni sababu inakaa na chaji na ziko imara mi natumia hii.
We nenda tu na hiyo picha
View attachment 1826240
Nokia 106Hii model gani
Njoo pia na nokia X2-01 nina kaka yangu anaipenda sana. Iwe red colour.Utanipa sh ngapi mkuu mwezi wa 7 mwishoni nije nayo unakuja kuiona na kunilipa changu ukiipenda
Hiyo ni nokia model gani
Usijali mkuuNjoo pia na nokia X2-01 nina kaka yangu anaipenda sana. Iwe red colour.
Bongo sijui niipate wapi
Dunia inaenda Digital Wewe Unarudi kinyume nyume. Ukiambiwa uvae magome ya miti unakubali? Au unaogopa pesa watsapo?Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti.
Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora niwe na simu ya kawaida lakini kutoka kwenye Brand za kibabe kama Nokia ikiwa inaisindikiza Smarphone.
Anatoka wapi zaidi ya kariakooMwezi wa 7?,kwani unatoka nayo wapi
Una hela mzee simu ipo hiiKama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti.
Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora niwe na simu ya kawaida lakini kutoka kwenye Brand za kibabe kama Nokia ikiwa inaisindikiza Smarphone.
Hizi sasa ndio simu,sio hivi vibompoli wanavyotuletea vya kichinaKariakoo kuna jamaa anauza sana hizi simu ila changamoto inakuja toleo ambalo wewe unataka ni ngumu kupata.
Mimi nilienda kuna sony fulani cybershot nilikuwa nataka nikakosa ila nilikuta ana simu nyingi.
Kama kuna mtu ana hii simu naitaka sana.
View attachment 1826239
Hela ipo jamaa yangu,nipo muongozo wakoUna hela mzee simu ipo hii
Kwani tatizo nini jamaa?,mbona inafanya mawasiliano kama hiyo tecno phantom yako.Hapa nilipo mwezi wa 9 nafikisha miaka 69 hayo mambo ya FB sijui Twitter ni yenu vijana sisi wazee yameshatupitaDunia inaenda Digital Wewe Unarudi kinyume nyume. Ukiambiwa uvae magome ya miti unakubali? Au unaogopa pesa watsapo?
Du kumbe hii ndume dingi kama mimi safi sanaKwani tatizo nini jamaa?,mbona inafanya mawasiliano kama hiyo tecno phantom yako.Hapa nilipo mwezi wa 9 nafikisha miaka 69 hayo mambo ya FB sijui Twitter ni yenu vijana sisi wazee yameshatupita