Wapi naweza kupata simu hii (Nokia 1680c)?

Kariakoo kuna jamaa anauza sana hizi simu ila changamoto inakuja toleo ambalo wewe unataka ni ngumu kupata.

Mimi nilienda kuna sony fulani cybershot nilikuwa nataka nikakosa ila nilikuta ana simu nyingi.

Kama kuna mtu ana hii simu naitaka sana.

images.jpeg
 
Ukipita niulizie basi mkuu nipo mbali
Kuuliza vipi zipo zimekuwa dili sasa watu
Wengi wenye simu janja wana Nokia pembeni sababu inakaa na chaji na ziko imara mi natumia hii.

We nenda tu na hiyo picha

20210622_104702.jpg
 
Haya ni maajabu ya 8 ya dunia kuna sehemu nimeambiwa hii simu ipo ila bei ni 190K.Labda nirogwe niwe majinuni ndio nitoe 190K kununua Nokia 1680c.Kumbe bora hata kuagiza online
 
Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti.

Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora niwe na simu ya kawaida lakini kutoka kwenye Brand za kibabe kama Nokia ikiwa inaisindikiza Smarphone.

Dunia inaenda Digital Wewe Unarudi kinyume nyume. Ukiambiwa uvae magome ya miti unakubali? Au unaogopa pesa watsapo?
 
Una hela mzee simu ipo hii
 
Kariakoo kuna jamaa anauza sana hizi simu ila changamoto inakuja toleo ambalo wewe unataka ni ngumu kupata.

Mimi nilienda kuna sony fulani cybershot nilikuwa nataka nikakosa ila nilikuta ana simu nyingi.

Kama kuna mtu ana hii simu naitaka sana.

View attachment 1826239
Hizi sasa ndio simu,sio hivi vibompoli wanavyotuletea vya kichina
 
Dunia inaenda Digital Wewe Unarudi kinyume nyume. Ukiambiwa uvae magome ya miti unakubali? Au unaogopa pesa watsapo?
Kwani tatizo nini jamaa?,mbona inafanya mawasiliano kama hiyo tecno phantom yako.Hapa nilipo mwezi wa 9 nafikisha miaka 69 hayo mambo ya FB sijui Twitter ni yenu vijana sisi wazee yameshatupita
 
Du kumbe hii ndume dingi kama mimi safi sana
 
Back
Top Bottom