Wapi naweza kupata simu hii (Nokia 1680c)?

Wapi naweza kupata simu hii (Nokia 1680c)?

Wakuu mimi natafuta Housing na display ya nokia 1680c-2 naweza kupata wapi? mimi nipo morogoro.
 
Rejea hapa
Kuna mtu jashaingia cha kike huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210624_182649_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti.

Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora niwe na simu ya kawaida lakini kutoka kwenye Brand za kibabe kama Nokia ikiwa inaisindikiza Smarphone.
Agiza kupitia kikuu... Wapo vizuro
 
Hata mimi nimefanya nae ila niliagiza kitu kidogo yaani Kifaa cha kuwasiliana na Netflix na Channel kibao za nje nimesahau jina ila kilitoka US na nilikipata baada ya wiki mbili na alinipa access ya ku track mzigo mpaka unafika. Na nilipochelewa kwenda kuchukua walinituimia mesg.

Sijui kwasasa kama bado yupo makini au la not sure. Sijawai kumwona.
Unampa kabisa hela au?
 
Dar kuna duka la mwindi Lina hizo cm nokia za zamani kibao Ila huna adabu ningekuelekeza!
Nielekeze tu jamaa yangu,huyo bwana alikuwa ananijaribu na mimi sikukubali kujaribiwa
 
Back
Top Bottom