Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
100,000Hela ipo jamaa yangu,nipo muongozo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100,000Hela ipo jamaa yangu,nipo muongozo wako
Unayo dukani sio100,000
SijakuelewaDu kumbe hii ndume dingi kama mimi safi sana
Kuna mtu jashaingia cha kike huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rejea hapa
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
2024 | NUNUA BIDHAA TOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI NA MZIGO UTAKUFIKIA MAHALA ULIOPO UTANGULIZI Je, kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na hukupata? Je, kuna huduma unahitaji kulipiwa mtandaoni? Kama jibu ni NDIYO, basi hii thread inakuhusu...www.jamiiforums.com
Nilishatumiaga hii.Kariakoo kuna jamaa anauza sana hizi simu ila changamoto inakuja toleo ambalo wewe unataka ni ngumu kupata.
Mimi nilienda kuna sony fulani cybershot nilikuwa nataka nikakosa ila nilikuta ana simu nyingi.
Kama kuna mtu ana hii simu naitaka sana.
View attachment 1826239
Shikamoo babuDu kumbe hii ndume dingi kama mimi safi sana
Ilikuwa poa sana kwa wkt uleNilishatumiaga hii.
SanaIlikuwa poa sana kwa wkt ule
Agiza kupitia kikuu... Wapo vizuroKama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti.
Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora niwe na simu ya kawaida lakini kutoka kwenye Brand za kibabe kama Nokia ikiwa inaisindikiza Smarphone.
SawaAgiza kupitia kikuu... Wapo vizuro
Mkuu kweli?? Hata mimi ninauhitaji sana na hiyo simuZiko nyingi tu 60,000 Kariakoo Agrrey
Stress za maisha mkuu.Nowdays JF watu wamechafukwa mno![emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Unampa kabisa hela au?Hata mimi nimefanya nae ila niliagiza kitu kidogo yaani Kifaa cha kuwasiliana na Netflix na Channel kibao za nje nimesahau jina ila kilitoka US na nilikipata baada ya wiki mbili na alinipa access ya ku track mzigo mpaka unafika. Na nilipochelewa kwenda kuchukua walinituimia mesg.
Sijui kwasasa kama bado yupo makini au la not sure. Sijawai kumwona.
Dar kuna duka la mwindi Lina hizo cm nokia za zamani kibao Ila huna adabu ningekuelekeza!Kwenye duka la bibi yako au?,usianze kunichefua
Nielekeze tu jamaa yangu,huyo bwana alikuwa ananijaribu na mimi sikukubali kujaribiwaDar kuna duka la mwindi Lina hizo cm nokia za zamani kibao Ila huna adabu ningekuelekeza!
Nokia 106 ,40000 unapata original ..35000 /30000 unapata copy yakeHiyo ni nokia model gani
Sahv kuna wajinga wanawaharibia Nokia ..kwa kuuza copyNjoo pia na nokia X2-01 nina kaka yangu anaipenda sana. Iwe red colour.
Bongo sijui niipate wapi
Mkuu tuelekeze kwa faida ya wengiDar kuna duka la mwindi Lina hizo cm nokia za zamani kibao Ila huna adabu ningekuelekeza!
duka linatazamana na barabara ya mwendo msimbazi road karibia na aggrey street, muulize mtu yoyote ukiwa maeneo hayo ambaye ni mwenyeji atakuonyeshaMkuu tuelekeze kwa faida ya wengi