Habari wadau.
Tafadhali naomba msaada wa ni wapi naweza pata vifungashio au kwa lugha ya take away za glass kwa bei ya jumla ambazo ni imara kidogo za kuuzia juice.
Note: sio vile vifungashio vya ubuyu n.k. maana ni vilaini sana. Ukitumia mara mbili kwisha.