Wapi naweza kupata vifungashio (take away) vigumu vya juice?

atusam

Member
Joined
Jan 15, 2023
Posts
6
Reaction score
6
Habari wadau.

Tafadhali naomba msaada wa ni wapi naweza pata vifungashio au kwa lugha ya take away za glass kwa bei ya jumla ambazo ni imara kidogo za kuuzia juice.

Note: sio vile vifungashio vya ubuyu n.k. maana ni vilaini sana. Ukitumia mara mbili kwisha.
 
Nenda kariakoo mtaa wa Tandamti, kuna maduka wanauza hizo takeaway glass za aina mbalimbali
 
Back
Top Bottom