Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kariakoo mtaa wa Tandamti, kuna maduka wanauza hizo takeaway glass za aina mbalimbaliHabari wadau.
Tafadhali naomba msaada wa ni wapi naweza pata vifungashio au kwa lugha ya take away za glass kwa bei ya jumla ambazo ni imara kidogo za kuuzia juice.
Note: sio vile vifungashio vya ubuyu n.k. maana ni vilaini sana. Ukitumia mara mbili kwisha.