jamaafulanihivi
Member
- Sep 19, 2022
- 9
- 8
Jamni maji yamekuwa gumzo, hii nakaribia kufunga week na siku kadhaa hakuna maji natumia maji ya chumvi nikioga nakwaruzika na kupauka kama nyoka anayejivua magamba😡Kwa ndugu zangu wakazi wa Dar es salaam wilaya ya Kinondoni, ni wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?
Ifuate hii sijui km yapo zamani yalijaa hapo aliposema mdau.Nenda sayansi kijitonyama ndo yanapaki hayo magari
sikuhizi hayapo labda kama unacontact zaoIfuate hii sijui km yapo zamani yalijaa hapo aliposema mdau.
Sina ndiyo maana nikasema sijui km yapo sijayaona kitambo sana.sikuhizi hayapo labda kama unacontact zao