Wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?

Wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?

Joined
Sep 19, 2022
Posts
9
Reaction score
8
Kwa ndugu zangu wakazi wa Dar es salaam wilaya ya Kinondoni, ni wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?
 
Aisee...

Kwani una tank mkuu?

Kama hauna basi anza kwa kununua tank kwanza.
 
Kwa ndugu zangu wakazi wa Dar es salaam wilaya ya Kinondoni, ni wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?
Jamni maji yamekuwa gumzo, hii nakaribia kufunga week na siku kadhaa hakuna maji natumia maji ya chumvi nikioga nakwaruzika na kupauka kama nyoka anayejivua magamba😡
 
1. Kila mtu kwa dini yake aombe mvua zinyesheee

2. Tuwatafte wale wazee wa zamani walokuwa na utamaduni wa kufanya tambiko na mvua kunyeshaaa a

dini vs mila na destury
 
Back
Top Bottom