Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa design yangu ya chupa za plastiki?

Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa design yangu ya chupa za plastiki?

".. ndio sector yangu."

Naomba kuuliza [emoji116]

Nahitaji kutengeneza plastic kavu yenye uangavu(kupitisha mwanga).. mfano:- Kama vile vifuniko vya juu vya hizi bulb za Kisasa (( LED lights Bulb.. mfano AILYONS, UBER, TRONIC nk ))

Je naweza anzia wapi ? [emoji120]
Material Ile hakuna tz jaribu South Africa
 
Hapo mkuu nenda china au Nairobi au south Africa

Kwa Tz hakuna materials za kutengeneza hizo kopo nadhan hawajaleta kwakuwa demand ya kopo hizo ni Chache na kwakuwa unataka kuanza biashara nashauri tafuta supplier china
Nipo South Africa nipe hiyo connection
 
Hapo mkuu nenda china au Nairobi au south Africa

Kwa Tz hakuna materials za kutengeneza hizo kopo nadhan hawajaleta kwakuwa demand ya kopo hizo ni Chache na kwakuwa unataka kuanza biashara nashauri tafuta supplier china
Nairobi pia niko na connection huko pia kama mtu yupo serious. Huhitaji kwenda popote,
 
Back
Top Bottom