Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Wapwa na mabinamuz, nataka nicheck afya yangu ili niweze kujiridhisha mustakabali wa maisha. Sasa je ni wapi naweza kwenda kupima fasta na kupewa majibu haraka bila kuchakachuliwa? Naombeni msaada jamani kituo gani kizuri niende na ghalama zao zikoje? Msaada tutani wapwaz.