Wapi naweza pima ngoma

Wapi naweza pima ngoma

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Wapwa na mabinamuz, nataka nicheck afya yangu ili niweze kujiridhisha mustakabali wa maisha. Sasa je ni wapi naweza kwenda kupima fasta na kupewa majibu haraka bila kuchakachuliwa? Naombeni msaada jamani kituo gani kizuri niende na ghalama zao zikoje? Msaada tutani wapwaz.
 
DUUH..
MI I THOUGHT UNATAKA KUPIMA DRUMS KIDOGO NINGEKUELEKEZA ABBEY STUDIO KWA DAVID MELLOW MKAANZE KUCHEK MA dB na ma resonance na ma lattency etc...

ila kama ni hii ngoma yetu hii...tia maguu zahanati yoyote ilo-karibu nawe au tia maguu pharmacy yoyote kubwa waulizie kile kipimo kipya cha marekani unachopimia denda na kujua kama unamiliki ngoma au microphones.
 
Shida ya nini Komredi? Nunua home HIV test kit ujipime mwenyewe....na majibu yanakuwa siri yako.
 
fideli ushachafua mahali nini????mie naanza kuogopa majibu yako yatakuwaje.....:redface::redface::eek2:
 
Nenda Angaza ya pale AMREF karibia na kituoa cha daladala cha Agha Khan yaani within 10 minutes utakuwa na majibu ya status yako
 
Jamani hawachakachui majibu?
 
fideli ushachafua mahali nini????mie naanza kuogopa majibu yako yatakuwaje.....:redface::redface::eek2:
Neema sijachafua mahali ila nataka nijiridhishe kama nipo + nianze kula mashudu mapema, hicho kipimo cha wamarekeni kimesha fika TZ kweli?
 
Last edited by a moderator:
Pitapita njiani utawaona vijana wanapimisha kwa sh.mia tu, ukipanda ukishuka una majibu yako, mwenzio huwa napima huko,sitaki shida
 
Shida ya nini Komredi? Nunua home HIV test kit ujipime mwenyewe....na majibu yanakuwa siri yako.

Komredi hicho kimesha ingia TZ? nitakipata wapi hicho kifaa? Hiki kizuri sana kabla ya kumega lazima nijiridhishe na afya ya mmegwaji.
 
Komredi hicho kimesha ingia TZ? nitakipata wapi hicho kifaa? Hiki kizuri sana kabla ya kumega lazima nijiridhishe na afya ya mmegwaji.

Sina uhakika kama kimeshaingia bongo ila kama vipi mi naweza kukuletea maana nashuka muda si mrefu.
 
Sina uhakika kama kimeshaingia bongo ila kama vipi mi naweza kukuletea maana nashuka muda si mrefu.

Ebwanee nilitee vya kutosha kwani unatumia mara moja tu au ukitumia unaweza tumia tena nyakati zijazo?
 
Mkuu King Kong III sifanyi kwa uzembe nafanya kwa nguvu kweli kweli mpaka mwenzangu anaridhika
Hahahahah,Lugha hii hii ndo tunacheza nayo hivi hivi! nimekukubali Fidel, you made my day!
By the way, pitia Angaza(AMREF) kwa sababu wao ni professionals na wanaweza kukutayarisha kisaikolojia(pre and post counselling) maana unaweza kutumia Home Test Kit ukaishia kujitungika kwa kamba za viatu!But iknow u're strong enough 'Kwa nguvu hizo hizo' utayapokea majibu positively.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom