Nenda Angaza ya pale AMREF karibia na kituoa cha daladala cha Agha Khan yaani within 10 minutes utakuwa na majibu ya status yako
Shida ya nini Komredi? Nunua home HIV test kit ujipime mwenyewe....na majibu yanakuwa siri yako.
Komredi hicho kimesha ingia TZ? nitakipata wapi hicho kifaa? Hiki kizuri sana kabla ya kumega lazima nijiridhishe na afya ya mmegwaji.
Fidel80 acha ngono zembe kijana!
Mkuu King Kong III sifanyi kwa uzembe nafanya kwa nguvu kweli kweli mpaka mwenzangu anaridhika
Hahahahah,Lugha hii hii ndo tunacheza nayo hivi hivi! nimekukubali Fidel, you made my day!Mkuu King Kong III sifanyi kwa uzembe nafanya kwa nguvu kweli kweli mpaka mwenzangu anaridhika