Wapi naweza pima ngoma

Wapi naweza pima ngoma

Wakuu nimesha toka Angaza mambo safi tuombeane niache tamaa.
 
Mpwa, Josephine wa Kingstar ulijilipua kavu? Jamaa yake tushafukia na dongo tani saba majuzi. Hata funza bado hawajaanza kula protini za mjeba.

Mpwa nilipiga chukuchuku ule mpododo ulikuwa balaa kwani nilikumbuka jezi aaah wapi nikaishia kuzitupa huko
 
Nenda Angaza ya pale AMREF karibia na kituoa cha daladala cha Agha Khan yaani within 10 minutes utakuwa na majibu ya status yako

Aghakan Mbeya au Wapi? kwa maana nyingine namuuliza mleta thread Fidel80 yeye yupo wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha hii ni kwa watu wa Dar tu km yupo mkoa wa Katavi kama mimi hapa ni kwenda vituo vya afya na majibu atapata baada ya wiki

Poa nilijua ni Dar ila mleta thread hakusema yeye yupo wapi ikabidi niulize vile, vipimo sasa hivi sio issue unapata kila sehemu ya nchi
 
Poa nilijua ni Dar ila mleta thread hakusema yeye yupo wapi ikabidi niulize vile, vipimo sasa hivi sio issue unapata kila sehemu ya nchi

Vp umepima lakini unapo sema siku hizi sio issue?
 
Acha woga bado tuna kuhitaji
ila nasikia kuna vipimo vinavyoweza kugundua kuwa una virusi vya aina gani ( vyote shoga au vyote dume au vyote jike au mchanganyiko) so usiogope kama vikiwa vyote dume basi havizaliani na ninasikia pia huwa navyo vinazini na vinapata navyo HIV kama sisi tu
 
duuh,wewe ushakula dege lisiloliwa,mashaka tele sasa!pole
 
Kabla ya kupima na baada ya kuchukuliwa damu ulikuwa unajisikiaje?

Ilikuwa poa tu maana niliandaliwa kisaikolojia kwa kupewa ushauri nasaha kabla ya kuchukuliwa damu (per-counselling) pia nilipomaliza wakati wa kwenda kuchukua majibu pia nilipewa ushauri nasaha (Post - counseling) though mapigo ya moyo huwa yanaenda kasi kama kuna sehemu ulipita alafu ukiangalia record ya mahusiano ya mlengwa ilikuwa ina utata
 
Back
Top Bottom