Teen Leila
Member
- Sep 24, 2013
- 33
- 4
Shikamooni wakubwa zangu
Wengine habar zenu!!!!!
Mm ni bint yatima
Ambae ni mwanafunz wa Open nachukua social work naingia mwaka wa pili mwez octobe
Mwaka jana nilijaliwa kupata ada kwa kuchangiwa changiwa ivo ivo sasa mwaka huu sijajua nitasomeje
Naombeni msaada wenu jaman niko tayari kuonyesha vyeti vyangu vyote kama uhakiki kwa ataeweza kunisaidia
Kwa huu mwaka wa pili inahitajika milioni na nusu maana tunalipa kwa units ambapo somo moja elfu 60
Naombeni mnisaidie jaman..niko dar es salaam au kama kuna yoyote anaeweza kunielekeza popote pale ambapo naweza kwenda na kupata msaada huu tafadhali naomba unieleze niende.....naombeni sana msaada wenu
Hii hapa ni email acount yangu leilayuris@yahoo.co.uk