wapi nawezapata sponsor anisomeshe please???? nisaidieni!!!!!

wapi nawezapata sponsor anisomeshe please???? nisaidieni!!!!!

Teen Leila

Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
33
Reaction score
4
Shikamooni wakubwa zangu
Wengine habar zenu!!!!!

Mm ni bint yatima
Ambae ni mwanafunz wa Open nachukua social work naingia mwaka wa pili mwez octobe

Mwaka jana nilijaliwa kupata ada kwa kuchangiwa changiwa ivo ivo sasa mwaka huu sijajua nitasomeje

Naombeni msaada wenu jaman niko tayari kuonyesha vyeti vyangu vyote kama uhakiki kwa ataeweza kunisaidia

Kwa huu mwaka wa pili inahitajika milioni na nusu maana tunalipa kwa units ambapo somo moja elfu 60

Naombeni mnisaidie jaman..niko dar es salaam au kama kuna yoyote anaeweza kunielekeza popote pale ambapo naweza kwenda na kupata msaada huu tafadhali naomba unieleze niende.....naombeni sana msaada wenu

Hii hapa ni email acount yangu leilayuris@yahoo.co.uk
 
Naombeni msaada jaman

upo valnurable sana and desperate dada leila... and from wat i think.. unaweza fanya lolote just to get hizo cash...i suggest you relax..kabla mafisadi wa huku jf hawajaja kukubeba if you know what i mean...kaa chini na ndugu zako na jamaa naamini hicho kiasi wanaweza kukichanga...au nenda kwenye mabank na makampuni ukiwaelezea naamini pia watakusikiliza..huku jf watakudisappoint tu....i can only offer my prayers God will help you...
 
Jaman ahsante niliweka ikanibidi niifute sijui kama ntakua nmefanya jambo sahihi au lah ila naamini kama unania ya kunisaidia utanisaidia tu
 
upo valnurable sana and desperate dada leila... and from wat i think.. unaweza fanya lolote just to get hizo cash...i suggest you relax..kabla mafisadi wa huku jf hawajaja kukubeba if you know what i mean...kaa chini na ndugu zako na jamaa naamini hicho kiasi wanaweza kukichanga...au nenda kwenye mabank na makampuni ukiwaelezea naamini pia watakusikiliza..huku jf watakudisappoint tu....i can only offer my prayers God will help you...

Asante kwa mawazo yako mazur ila siwez kufanya chochote kwa ajili ya cash naheshimu humanity zaidi napia nina hofu na Muumba wangu.....ahsante sana kwa msaada wako mkubwa wa mawazo na dua....Mungu akulipe kwa hilo!!!!
 
Nashukuru kwa mawazo yenu mazuri....still bado nahitaji msaada wenu
 
Ntawezaje kuonana nae???? Maana watu wakubwa bila refalee sidhan kama itaezekana ila nashukuru kwa mawazo yako

Inakera kiasi inatisha, Afadhali ungalisema umjukuu wa Matonya nisingali shangaa kivile, Wee unasoma Open Halafu hujui namna ya kumpata Mbunge wako hadi refaree. Watakaokupima kwa veti vya mikaratasi badala ya limu na ujuzi watakuwa wamnajidanganya..
 
Asante kwa abuses zako.....ndio mimi ni mjukuu wa matonya zote ni qadari za Mungu!!!! Ahsante sana Mungu akuzidishie
 
kuna group zile za wama za akina mama salma kikwete nenda ukauliizie huko.
inaelekea auna ndugu au? ungeeleza zaidi juu ya dugu kama hawataki kukusaidi ili watu wapate moyo zidi ya kukusaidia.

na uwe tayari kutoa account details na namba yako ya chuo ili pesa itumwe direct huko.
unapoomba pesa hii je malazi na chakula utapata wapi?

jieeze wa wakuhurumie na kukusaidia.
 
Dada ungefunguka zaidi,kwa mfano unaishije hapo dar,historical background yako,na je uliapply bodi ya mikopo mwaka jana?,na je kama mwaka jana ulikosa umejaribu mwaka huu?,kwann usinge apply programme zenye priority za mkopo?..,thread yako inatia huruma sana nakushaur ujiweke wazi kama mdau mmoja alivyosema hapo juu huwenda kwa kudra zake mungu watu wakakusaidia.
 
dah!! ungekuwa unasoma science ningekupa link ya scholarship hapa hapa sasa kwa social work ngoja nianze hivi umejiriwa?? sina maana mbaya
 
Back
Top Bottom