Songea kaka, Songea....nenda mapema kakusanye mahindi. Wakati wa mavuno kilo mpaka sh400. Act fastNimeangalia muktadha wa nchi yetu kwa hali ya sasa,upungufu wa vyakula muhimu,kutokana na tabia nchi,mvua kuchelewa,wakulima kuchelewa kupanda na ukame ulioikumba nchi miez kadhaa nyuma,bei za bidhaa/mazao kupanda,n.k..nataka niitumie hii kama fursa kwenye upande wa biashara ya mazao,kutoa sehem moja kupeleka nyingine.kununua bei ya chini shamban kuuza eneo lingne kwa bei nzur,NAOMBA MSADA wa mawazo.
Anhaa sawa sawa nashukuru sana,ngoja nifanye upembuzi yakinifu wa garama za uwekezaji na miundombinu yote itakayohusika,pia kama una watu wa huko unaweza nipa contacts zao niulize ulize maswal muhimSongea kaka, Songea....nenda mapema kakusanye mahindi. Wakati wa mavuno kilo mpaka sh400. Act fast
Kaka watu wako serious na kazi, kama KWELI uko serious na una fungu lako you have to act fast NENDA PERSONALY, kule mahindi ni mengi sana lakini wafanya biashara wanaoyakusanya ni wengi pia, achana na mambo ya kupiga simu kama una pesa umeshaiandaa nenda. Godowns vijijini hakuna, ukibahatika kukodisha nyumba ya kawaida sawa, kule unapanga pallets zako na kustake nje, funika maturubali fanya kazi, vijijini hakuna ubishoo....mjini godowns zipo itakucost pango tu, au kama unaweka kwa wanaosagisha ukiwauzia wao mahindi hawakutozi pango la godown. Ushauri wangu kama bado unafanya research ya kwenye keyboard endelea, kama cash iko bank panda basi kesho nenda field!Anhaa sawa sawa nashukuru sana,ngoja nifanye upembuzi yakinifu wa garama za uwekezaji na miundombinu yote itakayohusika,pia kama una watu wa huko unaweza nipa contacts zao niulize ulize maswal muhim
Kaka watu wako serious na kazi, kama KWELI uko serious na una fungu lako you have to act fast NENDA PERSONALY, kule mahindi ni mengi sana lakini wafanya biashara wanaoyakusanya ni wengi pia, achana na mambo ya kupiga simu kama una pesa umeshaiandaa nenda. Godowns vijijini hakuna, ukibahatika kukodisha nyumba ya kawaida sawa, kule unapanga pallets zako na kustake nje, funika maturubali fanya kazi, vijijini hakuna ubishoo....mjini godowns zipo itakucost pango tu, au kama unaweka kwa wanaosagisha ukiwauzia wao mahindi hawakutozi pango la godown. Ushauri wangu kama bado unafanya research ya kwenye keyboard endelea, kama cash iko bank panda basi kesho nenda field!
Kwenye kutafuta hakunaga mtaji mdogo mkuu, unaanza na chochote ulichonacho mkononi. Mfano, shambani kilo moja ya mahindi sasa hivi inauzwa mpaka shilingi mia nne (400), lakini kilometa chache tu mjini yanauzwa mia 6 (mia6), ukishusha ni kuuza tu! Sasa wewe unacheza na soko kwa sababu mtaji wako ni mdogo, unanunua kijijini hata tani moja tu unapeleka mjini fasta mizunguko kadhaa huku ukisoma kushuka kwa bei wakati huo ukikuza mtaji, usiweke stock kama hauna mtaji wa kutosha zungusha fasta iwezekanavyo huku ukibana sana matumizi usipende kukaa sana mjini wewe ukiuza geuka shamba. Mazao yote maharage na mahindi sasa hivi ni dhahabu ndugu. Kuna watu wanapesa nyingi na wana majummba mjini lakini wanaishi shambani tu, hebu piga hesabu mtu anakopesha mfuko mmoja wa mbolea kwa return ya gunia tatu za mahindi wakati wa mavuno, atahama shambani huyo? ACT NOW, AGGRESSIVELY!Mkuu Rene Jr, heshima kaka.
Kwa hii biashara ya kununua mazao vijijini (haijalishi ni interior rural settings kiasi gani, mie nafika na kuishi poa tu), ni minimum mtaji kiasi gani kuanzia? Namaanisha kwa mtu ambaye hana mtaji wa kutosha akiamua kwenda huko kudunduliza.
-Kaveli-
Daah sawa sawa kaka,asante sana kwa ushaur,yan nataka nisifanye makosa,manake hela yenyew hii ya ngama so haitakiw kujifunzia biashara so info kama hizo zako ndo nazitaka,.nataka jua changamoto pia ili nijipange kuzikwepaKaka watu wako serious na kazi, kama KWELI uko serious na una fungu lako you have to act fast NENDA PERSONALY, kule mahindi ni mengi sana lakini wafanya biashara wanaoyakusanya ni wengi pia, achana na mambo ya kupiga simu kama una pesa umeshaiandaa nenda. Godowns vijijini hakuna, ukibahatika kukodisha nyumba ya kawaida sawa, kule unapanga pallets zako na kustake nje, funika maturubali fanya kazi, vijijini hakuna ubishoo....mjini godowns zipo itakucost pango tu, au kama unaweka kwa wanaosagisha ukiwauzia wao mahindi hawakutozi pango la godown. Ushauri wangu kama bado unafanya research ya kwenye keyboard endelea, kama cash iko bank panda basi kesho nenda field!
Mjomba mwoga kwasabab hela yenyew ya ngama mzee stak nijifunzie biashara hii pesa,so nashkuru sana kwa ushaur pia nahtaj taarifa zingne kama za changamoto ili nizikwepeUpembuzi yakinifu tena ??? Kapande bus kesho au kama unausafiri binafsi washa gari uondoke kwenye keyboard!
Kwenye kutafuta hakunaga mtaji mdogo mkuu, unaanza na chochote ulichonacho mkononi. Mfano, shambani kilo moja ya mahindi sasa hivi inauzwa mpaka shilingi mia nne (400), lakini kilometa chache tu mjini yanauzwa mia 6 (mia6), ukishusha ni kuuza tu! Sasa wewe unacheza na soko kwa sababu mtaji wako ni mdogo, unanunua kijijini hata tani moja tu unapeleka mjini fasta mizunguko kadhaa huku ukisoma kushuka kwa bei wakati huo ukikuza mtaji, usiweke stock kama hauna mtaji wa kutosha zungusha fasta iwezekanavyo huku ukibana sana matumizi usipende kukaa sana mjini wewe ukiuza geuka shamba. Mazao yote maharage na mahindi sasa hivi ni dhahabu ndugu. Kuna watu wanapesa nyingi na wana majummba mjini lakini wanaishi shambani tu, hebu piga hesabu mtu anakopesha mfuko mmoja wa mbolea kwa return ya gunia tatu za mahindi wakati wa mavuno, atahama shambani huyo? ACT NOW, AGGRESSIVELY!
Anhaa,mbeya,sawa sawa kaka,nataka ni jikite kwenye nafaka,mahindi,mchele na maharage..i mean vile vyakula vya kila siku vya mtanzania
Daah nachat huku na drive na mvua hii ntagonga bure,ila kwa haya madini unayotema usiondoke nafika hom then niulize maswal mawil matat kuhusu hili,plz ndugu yanguKwenye kutafuta hakunaga mtaji mdogo mkuu, unaanza na chochote ulichonacho mkononi. Mfano, shambani kilo moja ya mahindi sasa hivi inauzwa mpaka shilingi mia nne (400), lakini kilometa chache tu mjini yanauzwa mia 6 (mia6), ukishusha ni kuuza tu! Sasa wewe unacheza na soko kwa sababu mtaji wako ni mdogo, unanunua kijijini hata tani moja tu unapeleka mjini fasta mizunguko kadhaa huku ukisoma kushuka kwa bei wakati huo ukikuza mtaji, usiweke stock kama hauna mtaji wa kutosha zungusha fasta iwezekanavyo huku ukibana sana matumizi usipende kukaa sana mjini wewe ukiuza geuka shamba. Mazao yote maharage na mahindi sasa hivi ni dhahabu ndugu. Kuna watu wanapesa nyingi na wana majummba mjini lakini wanaishi shambani tu, hebu piga hesabu mtu anakopesha mfuko mmoja wa mbolea kwa return ya gunia tatu za mahindi wakati wa mavuno, atahama shambani huyo? ACT NOW, AGGRESSIVELY!
Dah ni kwel,sina sabab ya kitoskiliza ushaur wazee.ujue wa tz somtime tunaitaj ushaur na kutiwa moyo,ni waoga sana kuweka pesa sehem,sana sana mim.so nashkuru sana mdauDaah fursa kama hizo, vijana 'viraka' tunakosa mtaji tu aisee. Hapo ni kudandia basi fasta na kwenda kujichimbia kileji interior ndani kabisa unapiga kazi. No ublaza kaka wala ubishoo.
Ila ndo ivo tena. Wenye mitaji nao wanakalia kwenye smart phone na keyboard 24/7 kufanya 'upembuzi yakinifu'.
The best 'upembuzi yakinifu' ni huko huko field on the ground.
Safi sana mkuu kwa kumpa go ahead huyu mdau.
-Kaveli-
Kwenye kutafuta hakunaga mtaji mdogo mkuu, unaanza na chochote ulichonacho mkononi. Mfano, shambani kilo moja ya mahindi sasa hivi inauzwa mpaka shilingi mia nne (400), lakini kilometa chache tu mjini yanauzwa mia 6 (mia6), ukishusha ni kuuza tu! Sasa wewe unacheza na soko kwa sababu mtaji wako ni mdogo, unanunua kijijini hata tani moja tu unapeleka mjini fasta mizunguko kadhaa huku ukisoma kushuka kwa bei wakati huo ukikuza mtaji, usiweke stock kama hauna mtaji wa kutosha zungusha fasta iwezekanavyo huku ukibana sana matumizi usipende kukaa sana mjini wewe ukiuza geuka shamba. Mazao yote maharage na mahindi sasa hivi ni dhahabu ndugu. Kuna watu wanapesa nyingi na wana majummba mjini lakini wanaishi shambani tu, hebu piga hesabu mtu anakopesha mfuko mmoja wa mbolea kwa return ya gunia tatu za mahindi wakati wa mavuno, atahama shambani huyo? ACT NOW, AGGRESSIVELY!
Anhaa sawa sawa nashukuru sana,ngoja nifanye upembuzi yakinifu wa garama za uwekezaji na miundombinu yote itakayohusika,pia kama una watu wa huko unaweza nipa contacts zao niulize ulize maswal muhim
Dah ni kwel,sina sabab ya kitoskiliza ushaur wazee.ujue wa tz somtime tunaitaj ushaur na kutiwa moyo,ni waoga sana kuweka pesa sehem,sana sana mim.so nashkuru sana mdau
Njoo Songea utimize ndoto yakoDaah sawa sawa kaka,asante sana kwa ushaur,yan nataka nisifanye makosa,manake hela yenyew hii ya ngama so haitakiw kujifunzia biashara so info kama hizo zako ndo nazitaka,.nataka jua changamoto pia ili nijipange kuzikwepa