bwana rene jr huko songea mvua zilishakata na watu wamevuna tayari maanake kwa dar mvua zinarindima sana sasa sijui huko vipi maanake mimi nilikuwa napiga hesabu nijikusanye mwezi huu na wa sita wote kisha niingie kwenye hii biashara au nitakuwa nimepishana na nyakati na nauliza vipi siwezi kuifanya hii biz kuanzia mwezi wa saba au mambo yatakuwa yamebadilika sana ushauri wako plz niko serious na hii mambo nishawasumbua sumbua sana wadau fulani fulani kwa pm humu ila namshukuru huyu bwana napoleone kwa kuleta uzi kabisaa na wadau wameuchangia