flagship
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,641
- 1,189
Kwani hawezi kutembea na keyboard?Upembuzi yakinifu tena ??? Kapande bus kesho au kama unausafiri binafsi washa gari uondoke kwenye keyboard!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hawezi kutembea na keyboard?Upembuzi yakinifu tena ??? Kapande bus kesho au kama unausafiri binafsi washa gari uondoke kwenye keyboard!
Katavi mahindi ni mengi sana tena cheap.Maeneo ya Majimoto na Inyonga huko ni kama unapewa bure.Katavi
Mkuu hayo mazao ni mavuno mapya au ni ya msimu uliopita?Kwenye kutafuta hakunaga mtaji mdogo mkuu, unaanza na chochote ulichonacho mkononi. Mfano, shambani kilo moja ya mahindi sasa hivi inauzwa mpaka shilingi mia nne (400), lakini kilometa chache tu mjini yanauzwa mia 6 (mia6), ukishusha ni kuuza tu! Sasa wewe unacheza na soko kwa sababu mtaji wako ni mdogo, unanunua kijijini hata tani moja tu unapeleka mjini fasta mizunguko kadhaa huku ukisoma kushuka kwa bei wakati huo ukikuza mtaji, usiweke stock kama hauna mtaji wa kutosha zungusha fasta iwezekanavyo huku ukibana sana matumizi usipende kukaa sana mjini wewe ukiuza geuka shamba. Mazao yote maharage na mahindi sasa hivi ni dhahabu ndugu. Kuna watu wanapesa nyingi na wana majummba mjini lakini wanaishi shambani tu, hebu piga hesabu mtu anakopesha mfuko mmoja wa mbolea kwa return ya gunia tatu za mahindi wakati wa mavuno, atahama shambani huyo? ACT NOW, AGGRESSIVELY!
Soko lipi? Sijaahi kuskia mtu anahoji "haya mahindi ni ya wapi?", millers ambao ndiyo wateja wakubwa wa mahindi hawajali yametoka wapi as long as ni mahindi ambayo "hayajagongwa" na yamehifadhiwaw vizuri, wewe ukiwaw na mahindi ya kutosha watu watatoka Kenya kukufuata, mwaka huu watu mpaka wamegombea wakulima.Mkuu mahindi ya sumbawanga,songea na dodoma yapi ya soko sana?
Hakuna mkulima mwenye mahindi ya mwaka jana sasa hivi, haya ni mahindi mapya.Mkuu hayo mazao ni mavuno mapya au ni ya msimu uliopita?
Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
Kwa iyo mtaji at least kiasi gani ndo naanza kuona faida?Safi sana mkuu kwa kushea nasi hapa.
Umetoa mwanga mzuri kwa mtu anayeenda huko kama beginner wa biashara hiyo.
Ila naona mtu akienda na mtaji kidogo, faida hatoina.
-Kaveli-
Ukubwa au udogo wa faida hutegemea mtaji nawe utauza bei gani.Kwa iyo mtaji at least kiasi gani ndo naanza kuona faida?
Mkoa gani uko?Ukubwa au udogo wa faida hutegemea mtaji nawe utauza bei gani.
Huko uliko mahindi ni bei gani?
Huku kwetu ni 350 kwa kilo. Kusafirisha Mara nyingi huwa 100/ per kg.
Do a math
Mkuu mbozi unapiga mazao gan?mkuu, minipo mbozi kama unataka karibu tupige collaboo
Karibu mbeya debe lina wastani w kg 18 linauzwa 6500 karibu ,ndanindani kidogoNimeangalia muktadha wa nchi yetu kwa hali ya sasa,upungufu wa vyakula muhimu,kutokana na tabia nchi,mvua kuchelewa,wakulima kuchelewa kupanda na ukame ulioikumba nchi miez kadhaa nyuma,bei za bidhaa/mazao kupanda,n.k..nataka niitumie hii kama fursa kwenye upande wa biashara ya mazao,kutoa sehem moja kupeleka nyingine.kununua bei ya chini shamban kuuza eneo lingne kwa bei nzur,NAOMBA MSADA wa mawazo.
Mimi nimuajiliwa wa serikali, npo uku nafanya research juu, ya mazao yakulimaaMkuu mbozi unapiga mazao gan?
Nipe mawasiliano yako mkuu.Mimi nimuajiliwa wa serikali, npo uku nafanya research juu, ya mazao yakulimaa
Huku niliko ni 700 hadi 800 per kgUkubwa au udogo wa faida hutegemea mtaji nawe utauza bei gani.
Huko uliko mahindi ni bei gani?
Huku kwetu ni 350 kwa kilo. Kusafirisha Mara nyingi huwa 100/ per kg.
Do a math