20th MayKama umechoka na maisha ya bongo ninakushauri katika nchi ulizozitaja bora uende nchini Botswana katika nchi za bara Asia nenda Japan au South Korea Au brunei..
Katika nchi za Bara la ulaya nenda ireland au Sweden, au Ujerumani, au Switzerland, au Belgium Au Kanada au Australia
Nipe Tarehe uliyozaliwa na mwezi wako nipate kukupa ushauri wa nchi gani ya dunia inayo kufaa kwenda kuishi na kuweza kufanikiwa kimaisha
Wanatumia lugha gani?Fika syechelles patamu mwamba halafu washikaji wavivu wavivu so kama utakuwa mtu wa kujituma safi
Mkuu nina passport tayari, niombe VISA gani yakunifikisha huko? Natamani sana niwe mbali na Tz kwa miaka michache, hata miaka mitatu tu.Njoo North korea
Shemeji bado mgeni huko, ngoja azoee kidogo tuwasiliane na dada HM atu connectMfuate Aziz K
Si uende Qwaiti au Qatar nduguuMkuu nina passport tayari, niombe VISA gani yakunifikisha huko? Natamani sana niwe mbali na Tz kwa miaka michache, hata miaka mitatu tu.
Kuna fursa zipi huko Gozba mkuu?Nchi ya ushelisheli au ina watu laki mbili kitakupa nini...
Kisiwa cha Seychelles kinazidiwa fursa na kisiwa cha Gozba, kipo Muleba.
Ushauri wangu katafute maisha Muleba
Umeshawahi kufika huko mkuu?Si uende Qwaiti au Qatar nduguu
Qatar yes kaka maisha yake yako poa afu sio nchi ya kijibana sana kwenye dini ila usiende Saudi Arabia 🇸🇦Umeshawahi kufika huko mkuu?
Hahah Uoga wa Mtu ndio unaochelewesha MafanikioHizo nchi ulizotaja zote ni poor economically na kwenye kila kitu ukilinganisha na Tanzania. Baki hapahapa. Kama umeshindwa kutafuta hapa huko ni kwenda kujitafutia kifo.
Msijidanganye kwamba kubadilisha location bila research na plans ita-reset chances zako za kufanikiwa to factory default. Ni kujiombea kifo.
Ghana ni free visa ila Ghana 🇬🇭 sio nchi poa uchumi mgumuNenda Mali ama ghana fursa ni mtaji wako, Ukipenda Toka Na Maparachichi ya Kienyeji Makubwa Utaheshimika Hapo Ghana.. ama kama uko na mil2 tofauti na mambo ya usafiri Mali kodisha kiwanja bei nafuu fanya kilimo.