MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Mioyo tofauti kaka tunatofautiana.Nimesema nitajigaramikia Kila kitu mm mpaka hotel yeye Kaz yake kunielekeza tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mioyo tofauti kaka tunatofautiana.Nimesema nitajigaramikia Kila kitu mm mpaka hotel yeye Kaz yake kunielekeza tuu
Namba niliyopewa nimtafute mtu wa botswana kanikung'uta tofali sijui nimemkosea nn Yani wabongo bhana
Anyway mm kesho niende TU hata sitak kukutana na watanzania waishio huko botswana maana hawana msaada kuomba TU msaada kaniblock
Huko sasa ndo kuna fursa yakulima mchichaHahahaha, inachosha huwezi amni fungu la mchicha bei yake ni zaidi ya 10,000 ya tz..tena mboga za majani xinatoka nje ya nchi yao.
😂🤣😅😩Acha kujidhalilisha mitandaoni
Ok Kuna jamaa nimcheki kama bado YukoBro nipe connection, nitumie number y'a MTU wa botswana mtanzania
Ww unamtafuta Kama nani Kama muhusika ni mm,Itakuwa umemuingia vibaya mi mbona nachat nae vizuri tu
Ushamchek?Ok Kuna jamaa nimcheki kama bado Yuko
Alafu wabongo wengi ukikutana nao wengi wamechoka na Kuna mmoja nilikutana nae nilijuta yule jamaa ni Teja na ameshajikatia maisha na wengi wabongo wanaingia kule hawana document yeyote na wengi wanatamani kurudi bongo wanashindwa atatokaje kule Kuna sehemu inaitwa kazungulu border hio Iko karibu na Zambia na nambia sasa Kuna hifazi ya wanyama na Kuna kama mto flani kwa hio wabongo wengi wamekwama hio sehemu wengiKm hujawahi kufika utaona je hao wabongo.
Hahah, umekazia sana kiongozi 😂😂😂 hadi mdau aelewePenye mademu pana fursa
Njaaa wao wenyewe wanapakimbia wanakuja TanzaniaWakuu napenda kwenda nchi inaitwa Romania
Wabongo wasije tu wakaiharibu hiyo nchi kama mahayawani toka tu na nchi nyingine walivyovamia south na kuiharibuMigration wa namibia kama bongo, kiufupi namibia ni Tanzania iliyochangamka, na Wana life style ya kizungu kidogo
Kama upo tayari kupoteza maisha kwa kuruka uzio uliopo katika jimbo la Melilla na Ceuta sawa. Spain ipo ndani ya Morocco ila waarabu wachache wanaothubutu kuruka ukutaBora ungesema Morocco, hawa wapo karibu sana na Spain
Wengine wana dili chafu huko nje so hawataki mazoeaMkuu Mm nimeamn watanzania kusaidiana ngumu sana,,sis tuna roho za uchuro
Huko ni maskini na wabaguzi,kule ujerumani na ulaya kiujumla ombaomba wengi ni kutoka RomaniaWakuu napenda kwenda nchi inaitwa Romania
AlinivurugaAlivoandika Bucharest alimaanisha mji mkuu wa Romania.
Wewe umeandika mji mkuu wa Hungary nao ni Budapest sio Budhapest.
Pambana ufike Australia au kama ni Romania basi iwe the way to S.Korea or elsewhere and not Budapest for the life.Budhapest
SahihiHuko ni maskini na wabaguzi,kule ujerumani na ulaya kiujumla ombaomba wengi ni kutoka Romania
Kanada imekuwa hovyo hakuna kazi immigrant wamekuwa wengi,Serikali imefika hatua ku deport immigrant especially IndianKama umechoka na maisha ya bongo ninakushauri katika nchi ulizozitaja bora uende nchini Botswana katika nchi za bara Asia nenda Japan au South Korea Au brunei..
Katika nchi za Bara la ulaya nenda ireland au Sweden, au Ujerumani, au Switzerland, au Belgium Au Kanada au Australia
Nipe Tarehe uliyozaliwa na mwezi wako nipate kukupa ushauri wa nchi gani ya dunia inayo kufaa kwenda kuishi na kuweza kufanikiwa kimaisha