Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Fursa ni nyingi inategemeana na wewe kwanza kama ni biashara ana na kacha hizi za kwetu wapelekee vinyago vya kuchonga kama vile wanavyochonga kule mwenge hata biashara za nafaka kama Mchele kama umeenda kuangalia ingia kwenye migodi ya almasi kule Kuna pesa nazani katika dunia wachimbaji wakubwa ni wao
Taja fursa zingine
 
Kwa uzoefu wangu niliofika kwa mda Cha kwanza hawa jamaa wapi makini sana kwa mgeni maswali ambayo watakuuliza cha kwanza unatakiwa uwe na show money isiopungua Dola 500 Cha pili unawenda wap au mwenyeji wako ni nani na huyo mwenyeji wako lazima wajue ana Kaa sehemu Gani na anajishuhulisha na nini na wakikugongea passport mda utaokuwepo kwao usije ukazidisha tarehe ya kukaa kwao ukizidisha Wana faini zao au jela na kingine hawa jamaa Wana ubinafsi sana kwa raia Mimi nilipoingia gaberon walipokagua passport yangu waliniuliza maswali mengi sana kabla hawajanigongea passport na kingine Cha muhimu sana epuka kumchukuwa mke wa mtu au x wa mtu wanawake ni wazuri sana na ukimwi ni mwingi sana na nchi nzuri sana ya kutafuta maisha hasa ukiwa unafanya biashara na biashara ambao itakayokuchomoa haraka ni biashara ya vinyago au kacha kama za huku kwetu na raia wengi hawapendi kufanya kazi ngumu maisha Yao asilimia kubwa ni ya bata
Kama huna mtu WA kukupokea Ila pesa unayo ya kutosha hawakuruhusu
 
Kama huna mtu WA kukupokea Ila pesa unayo ya kutosha hawakuruhusu
Labda unafika....wanakuzonga zonga..unamthaminisha mmoja ..ukiona mnaweza wezana...unamwambia friend..look I have come here to search for an opportunity to work and live..I don't have anyone here, so please I may be lucky to find you, see I have 200 usd for you, pls be my host let the authority and other people know you expected me from Tanzania for a certain business introduction...haaah nawaza tu, kama ndo nimefika sina mtu ila atleast nmetembea na vidola kama 1000 ivi.
 
Atakudhania vinginevyo, Dunia imebadilika huwez mkurupua tu mtu accidentally hivyo
 
Namba niliyopewa nimtafute mtu wa botswana kanikung'uta tofali sijui nimemkosea nn Yani wabongo bhana

Anyway mm kesho niende TU hata sitak kukutana na watanzania waishio huko botswana maana hawana msaada kuomba TU msaada kaniblock
Nilisema jana hapa huwezi ku display namba ya mtu then useme tu watu wamtafute atawasaidia bila kumpa taarifa, lazima tu atawaona wajaidina
 
Namba niliyopewa nimtafute mtu wa botswana kanikung'uta tofali sijui nimemkosea nn Yani wabongo bhana

Anyway mm kesho niende TU hata sitak kukutana na watanzania waishio huko botswana maana hawana msaada kuomba TU msaada kaniblock
Mda mwingine mentality tunatofautiana. Wengi wanajua utamwomba pesa ndo shida inapoanzia
 
Back
Top Bottom