Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Kama umechoka na maisha ya bongo ninakushauri katika nchi ulizozitaja bora uende nchini Botswana katika nchi za bara Asia nenda Japan au South Korea Au brunei..
Katika nchi za Bara la ulaya nenda ireland au Sweden, au Ujerumani, au Switzerland, au Belgium Au Kanada au Australia
Nipe Tarehe uliyozaliwa na mwezi wako nipate kukupa ushauri wa nchi gani ya dunia inayo kufaa kwenda kuishi na kuweza kufanikiwa kimaisha
Dr MziziMkavu naomba na Mimi nifafanulie tarehe 24 Mwezi 12
 
Kwangu ntakwambia Namibia, Botswana , ila fursa huko zipo hivi Botswana hakikisha una fani uwe dereva, fundi either furniture na magari, namibia nenda na mtaji mdogo tu Piga biashara ndogo aisee Kuna fursa, nchi nyingine zisifahamu ulizouliza, ila usiwaze south Africa hapafai Pana mambo ya kishamba mengi
Huko Namibia hamna rate kubwa ya ubakaji? ili mi mdada niende nikapange zangu getho niwe naagiza vitu china nauza.
 
Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa

Au Morocco na nchi nyingine ongezea.

Bongo sitaki,

Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM au hapa hapa
south africa,namibia,botswana na moroco hakuna tofauti na tz but ukiweza ingia qatar or kuwait
 
Mauritius ukiweza kuingia jua umetoboa ila gharama za maisha kama ulaya kwenye kile kisiwa. Ukiweza kuingia unaweza kutafuta upenyo ukaingia visiwa vya reunion na Mayotte ambavyo ni sehemu ya ufaransa hapo utakuwa umetoboa
Unaingiaje hivyo visiwa, share wote tupate Elimu maana Mauritius ni free visa
 
Back
Top Bottom